Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

Sawa Mr Kiranga nimekuelewaa
 
Mkuu, stop using AI trying to describe a human emotion, tutazidi kupumbaza watu tu..

Inshort hao kazi yao, ni kubrain wash watu waingie mkenge tu, ku lable mtu ni kumfanya awe victim wa kitu ambacho sio tatizo in the first place.

I've been there brother.. Ni ujuha tu, ukikubaliana na ujinga wa manipulations hizo utapotea, sijui disorder sijui nini, it's all just a mess
 
Umenielewa nini?

Hebu nielezee ulichoelewa na mimi nielewe umeelewa kweli, na si kwamba unafikiri tu umeeleewa, au hutaki kujibizana tu unataka kukatiza majibizano, umeelemewa badala ya kuelewa.
Nimekuelewa in terms of kwamba una point, ila jua kuwa it's way more deeper and includes a whole of great intuition na wisdom kuweza kunielewa.
 
Issue si AI.

Issue ni hicho kilichoandikwa.

AI ni tool tu, kama Google.

Sasa unaniambia nisitumie tool kwa sababu huoendi kikichoandikwa tu?

Vioi kama kina ukweli na hilo ndilo tatizo lako?

Huoni kuwa utakuwa umeingia mulemuke ilipoandijwa juwa watu wenye tatizo hiki huwa wabishi hawataki kuambiwa ukweli kwa mantiki yoyote?

Jibu lako linakupeleka huko.
 
Njoo nyumbani nakupenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…