Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Suala la kuzaa mwanamke ndo mwenye uamuzi kabla ya kubeba mimba akikisha mmekubaliana na mwenzako, akikisha ni mwenza wako rasmi(mchumba au mume), akikisha ana kipato cha kuweza kumudu kutunza mtoto na mama mtoto na baada ya kuzaa akikisha unaeheshimu nafasi ya mzazi mwenzako kama baba mtoto.. ukijibebesha mimba ya mtu ambae sio mpenzi wako rasmi, kipato ni kidogo au hana kabisa, kwa mawazo ya kwamba kwa kubeba mimba ndo hawezi kukuacha au baada ya kujifungua basi ukataka kutumia kigezo cha kuzaa pamoja kama nyenzo ya kumpelekesha (kumpanda kichwani) kotakachofata usianze kulia lia kusumbua watu
 
Ngoja tukushauri Ili ukamshauri ambaye hajapata matatizo hayo mpaka sasa.


Chaguo la mwenza wako ni kitu muhimu sana katika mustakbali wako, ustawi wa familia yako na Maisha ya baadae ya watoto wako.

Wanaume wa hovyo huonekana mwanzo tu wa mahusiano na viashiria vyote huonekana na wanawake hupuuza kwa kufikiria watu hubadilika.

Unaingia kwenye mahusiano mtu habadiliki ana anakuwa worse than before.

Na hili sio kwa wanawake tu na wanaume wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu ya shape ya mwanamke lakini ndani kwenye Maisha ni balaa.

Usioe au kuolewa kwa wrong reasons. Sababu za muda mfupi zisikufanye uingie katika mahusiano hasa ya ndoa.

Kwa hiyo wa kwanza kulaumiwa ni wewe mwenyewe uliyechagua bomu na kusubiri likulipukie.

Kama umechagua mwenyewe na unampenda na hayo ndio MAPUNGUFU yake, find a way to deal with them au kimbia tu kama huwezi kuvumilia.

Sehemu ya matatizo yako yanatokana na bad choices ulizofanya katika Maisha yako.
 
Aina zote hizo za wanaume ushakua nao na washakuoa na leo haupo na hata mmoja wao

sasa hapo shida ipo kwa wanaume tuu au hata na side B? Sema una ma experience bwana

lakini na wewe unajua wanaume tabia zetu huonekana mapemaa,hivi tangia mwanzo wakati unaitega hadi mimba inashika ulikua hujamkagua vizuri baba la baba?

Hamnaga Mwanaume/Mwanamke Perfect Ukisikia NDOA ujue siri namba 1 ni UVUMILIVU yani una jinaume lako levi ila unalivumilia tu,jinaume lako malaya unalivumilia tu,NK

Ndoa haitaki shobo yani ukishachanua miguuu ikanasa mkaekana ndani nisiskie fye fye fye....
 

Aisee sijajua matahira yapo mengi nchi hii nani kakuambia mimi nibebee mimba matahira kama nyie .
Sio rahisi mwanamke kama mimi niache uhuru wangu nikalee matahira ya watu wengine isitoshe sijaolewa na matahira hayoo.

Jua hili liweke hebu akilini sio kila mwanamke ni mrahisi katika kuwa single mother mi kwangu siwezi na kujiharibu mwili wangu nisipendeze kisa nini eti vishahawa vya matahira hata uwe billionea uwe mzungu uwe malaika hujafuata process yakunipa mimba wewe mtu potea siwezi jizeesha na kushika vimavi vya mtu .
Mimi oa uzalishe watu sio utoe kimboo chako uwe uchafu wako ukue ndani yangu impossible eti niolewe niachike achike please usiniweke mikosi watu huchelewa kuoelewa ili kujipanga.

Halafu usicopy kila uzi wangu ukajua na hamu na matahira ovyoo na mambo mengi yakuwaza kuyafanya aio ujing ujinga tu.
 
Tatizo unaandika kwa hasira maneno mengine hata hayaeleweki...embu tulia uandike ufikishe ujumbe bidada
 
Tena kama kabinti kakishajua ni mtu wa Serikalini dah... Shidaa asee.
 
Unakuja kuniletea nuksi hapa na leo nina raha zangu wewe[emoji1866][emoji1866][emoji1866] nitakupiga hadi ujipange upya
[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]sipigani na maua wew endelea na raha zako staki kesi...
 
Mbona ulituahidi hii ndio post yako ya mwisho Unique Flower lkn naona bado unaendelea kupost kuwa na msimamo madam

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…