Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Kila mtu anahisia, na anavutiwa na mtu Fulani awe makini sana, wanaume Huwa wanapenda sana kwa kuvutiwa na baadhi ya mambo!
1. Ajitahidi sana mwonekano, afanye mazoezi, anywe maji mengi ale matunda, mwili uwe vzuri avutie.

2.awe nadhifu, sio mambo mengi, awe na ule unadhifu wa kiasili sio ma urembo mengi no.

3.asiwe na papara, aende taratibu kufanya mengine ambayo wenzangu wameyataja hapo juu!!
 
Ukitaka mwanaume akupende/avutiwe na wewe, mpotezee (ignore him)..
Utammaliza halafu utakuja niita mi kungwi[emoji38]
Watu hatuna muda huo siku hizi wa kuzingushana wakati hizi sukari zinapatikana kwa wingi.
 
Kwani siku hizi wanaume wanatongoza?? Akikuomba namba ndio tyr ushatongozwa hapo jamaa linakulia timing sema ww una haraka tyuuu.!!!
Kweli kabisa..
Akikuomba namba maana yake kakuelewa, na wewe ukitoa namba maana yake umemkubalia. Hapo ni muda muafaka tu unasubiriwa kufanya finishing
 
Content za hivi zinaniboa sijui akili yangu imekuwa kwenda juu au nakaribia utajiri. Samahani mtoa thread
 
Iliwahi kunitokea hii 2019,kuna dada tulikuwa tukiwasilina naye mambo mengine kabisa, kumbe yeye alisha legea nyang'anyang'a na kuoza ju yangu .

Kwahivo alikuwa anatafuta njia ya kunipata ,lakini mimi sikumpa nafasi hiyo kwani alikuwa ni demu wa rafiki yangu na niliheshimu sana mahusiano yao.

Siku moja kanipigia simu majira ya saa kuminambili jioni akiwa ana toka kazini na kwamba tukutane maeneo fulani hapa Dar ,nikamuuliza kuna jambo gani?, akasema wewe njoo nitakwambia ukifika.

Nikaona isiwe tabu ngoja nikamsikiluze shemeji yangu huenda anachangamoto nimsaidie .

Nikawasha chombo huyo nusu saa nyingi nishafika eneo husika .

Nikapiga simu "Hey uko wapi?" ,Kaniambia utaona loge upande wa kulia ,ingia getini kisha uliza counter akuelekeze chumba no (....)

Ooo! Hisia zika anza kuja !!!! , ile namkuta loo!! Kitanda kimetandikwa vema ,sikuuliza tena kuna issue gani mwili ukaanza kujitayarisha na kazi inayo weza kufanyika mda wowote ,Jogoo akawa anawika kwa sauti kuu .

Nikamsalimia kwa salama ya mahaba mazito ,kisha tukavua nguo nzito tukabaki na nyepesi ,tukaanza kupiga stories za hapa napale huku akiniambia namna alivyo umizwa na jamaa yake kwahivo akaona mimi naweza kupunguzia stress zake .Sikuwa na kipingamizi kulingana na mazingira.
Japo kawoga flani kalikuwepo.

Nikamuuliza kama loge inadaiwa ,akaniambia amesha lipa amemalizana nao.

Looo!! Basi tukaoga pamoja na kurudi kitandani halaka sana , fujo zisizo umiza zikaanza ,hatimae mechi !!!!.....


Kwakweli ilikuwa ni siku tamu sana kwangu!! na siwezi isahau!

Namshauri atumie njia hiyo kama njia zingine zimeshindikana.
 
Mwanamme hatongozwi, anaambiwa tu nataka nikutoe out na yeye anaingia kingi ndio hivyo tena.

NB.
Wanaume wengine wanampenda Mungu hivyo wanaweza wasikubali. Heshimu maamuzi yao.
 
[emoji445] shetani anamjarbu rafiki yako yaani ni ajabu mwanamke kutaka tu kulala naye(mwanaume) with no blah blah, mwambie akemeee hilo jaribu
Mambo ya kikoloni haya ,yaani mtu anaelezea hisia zake wewe unasema shetani?
 
Watu hatuna muda huo siku hizi wa kuzingushana wakati hizi sukari zinapatikana kwa wingi.
Hii mbinu si kwa wanaume hit and run, mbinu hii hufanya kazi kwa wanaume fulani tuwaite levels😛 ambao kila mwanamke anatamani kuwadate, kwahiyo mbinu hii inategemea dizaini yako na level/class ya madem unaopendelea.
 
Hii mbinu si kwa wanaume hit and run, mbinu hii hufanya kazi kwa wanaume fulani tuwaite levels[emoji14] ambao kila mwanamke anatamani kuwadate, kwahiyo mbinu hii inategemea dizaini yako na level/class ya madem unaopendelea.
Ukihit ndo mara nyingi unajua ubaki ama urun.

In short kupoteza muda kufukuzia mdada. Wakati unawakosa wadada wengine wazuri wakati muda unaupoteza kwa huyu anae leta mapozi. [emoji3][emoji3]
 
Hidden kicheche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…