Comrade Liu Yang
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 206
- 326
Ni kweli mkuuShida ya Mil 13 wewe kishua sana. Ila matajiri wa humu watakupa. Mchawi riba, muda na dhamana.
Sawa MkuuMikopo ya mtu kwa mtu huleta shida sana baadae kwenye kurejesha
Ainisha dhamana zako hapa hapa kabla ya kufuatana PM
mimi niko kwenye field hiyo, changamoto ninazoziona ni nzito
👇👇👇
View attachment 3428316
inategemea na muda wa rejesho Mkuu, hata riba ya 100% inalipika mkuu shida ni ndani ya muda gani?Ukipigwa riba ya 100% napo ni sawa tu?
Pole kwa changamoto.
Mimi sina
Siwezi orodhesha PublicOrodhesha dhamana zako kabla ya kufuatwa PM
Sawa ,Kila la kheriSiwezi orodhesha Public
kwamba ukisema una kiwanja Ilala sqm 1500 ama una nyumba Goba yenye thamani ya mil 75 itakuvua nguo hapa?Siwezi orodhesha Public
13m ni pesa nyingi... Kwa uzoefu wa humu hutoboiSiwezi orodhesha Public
No thank you, Asante Sana Mkuuukama uko tayari nikupe 15M urudishe 24M kwa miezi 6
Taasisi za Mikopo haziweki "riba yeyote" zinaweka Riba kulingana na kufata masharti ya BOT.Taasisi za mikopo zimetapakaa mitaani kama Unahitaji kulipa kwa riba yoyote,Kwanini usiende huko?
TAtzo sio Riba Mkuu Tatizo ni Muda wa Mkopo.Utawekewa riba kubwa sana Kwa watu binafsi.
Sawa mkuukwamba ukisema una kiwanja Ilala sqm 1500 ama una nyumba Goba yenye thamani ya mil 75 itakuvua nguo hapa?
Dhamana ni kitu cha Faragha?
Hauko Serious mkuu