Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

Taasisi za Mikopo haziweki "riba yeyote" zinaweka Riba kulingana na kufata masharti ya BOT.

hamna taasisi inaweza kuzidisha Riba tofaut na masharti ya BOT
Nadhani huko kuna nafuu kuliko kutamka kulipa riva yoyote kwa mtu binafsi, kwann hukuenda huko
 
  • Thanks
Reactions: K11
Mwandishi weka mali dhamana hapa

Pia ainisha kiwango utakacho rudisha na muda unao tarajia kurudisha

Karibu
 
Mwandishi weka mali dhamana hapa

Pia ainisha kiwango utakacho rudisha na muda unao tarajia kurudisha

Karibu
Asante Mkuu,nmesha sema sitoweka taarifa ya chochote PUBLIC.

Nitafanya hivyo kwa mtu atakae hitaji nisaidia, akihitaji nitamuorodheshea na kumkabidhi kabisa.

Nimekuja hapa kuonyesha tu uhitaji ila mengine ni mambo ya faragha kati ya mkopaji na mkopeshaji.
 
Tuma dm
 
Humu watu watakushurutisha kuandika dhamana zako, maswali mengi, ila trust me rudi kwa wana huko mtaani anayeweza kukusaidia ni anayekujua na kuzijua mishe zako
Nalielewa sana hili Sweet16 haujakosea,uko sahihi kwa 100% watu wa JF kwenye Comment ndivyo walivyo.

Na hata ukifanya hivyo hutowaona na mwisho utajiuliza alitaka kujua ili iweje?

Unapata tu jibu JF ina watu aina zote ni vyema tukajifunza kukubaliana nao na kuishi nao maana hatuwezi wafukuza au jitenga nao.
 
Mimi mtu anikopeshe mzigo wa vipodozi 5m jamani niwe nalipa monthly🙏
Kama una Biashara uliyoisajili, Tin,lesen,kila kitu kipo.

Nenda k.koo kwenye maduka ya vipodozi naweza kuku unganisha na mtu akakupa Mzigo ila uwe walau na kianzio.

ANdaa Orodha ya Vipodozi unavyoona vinatoka na namna utarudsha pesa yake, inawezekana.
 
Humu watu watakushurutisha kuandika dhamana zako, maswali mengi, ila trust me rudi kwa wana huko mtaani anayeweza kukusaidia ni anayekujua na kuzijua mishe zako
Umeongea kweli ..humu bwana maneno mengi sana , Kuna mtu alikutana na memba humu aliapa hatokaa akutane na memba humu kwa jins mtu anavyojikweza na alivyokutana nae na kumuona na zaidi akamwambia alikua anamtania tu hakujua kua atakua siriaz 🚮
 
Mimi mtu anikopeshe mzigo wa vipodozi 5m jamani niwe nalipa monthly🙏
Vipodozi vina bei kubwa sana 5m unaweza kupata box 5 tu na hautaamini ila thamani yake sasa...shida ya kudai ni kazi kweli na biashara za Tanzania hazieleweki unaweza kutumiwa mzigo TRA nao wakafunga kufuri na mzigo upo ndani mnabaki kuangaliana kama madume ya Mamba..
 
Back
Top Bottom