Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

Naomba MKOPO WA 13M kwa Mtu Binafsi

Vipodozi vina bei kubwa sana 5m unaweza kupata box 5 tu na hautaamini ila thamani yake sasa...shida ya kudai ni kazi kweli na biashara za Tanzania hazieleweki unaweza kutumiwa mzigo TRA nao wakafunga kufuri na mzigo upo ndani mnabaki kuangaliana kama madume ya Mamba..
Kwa biashara yangu na eneo nilipo mkuu vipodozi vya 5m vinanitosha kabisa, sichukui vipodozi viingi nachukua kwa idadi chache chache tu na fast movable.
Nafanya biashara ya duka la dawa ila kwakweli running coast kubwa saana naona nafanyia watu biashara nataka kubadilisha biashara aisee.
 
Uza hilo duka Lote mkuu hela utayopata chukua vipodozi
 
Kama una Biashara uliyoisajili, Tin,lesen,kila kitu kipo.

Nenda k.koo kwenye maduka ya vipodozi naweza kuku unganisha na mtu akakupa Mzigo ila uwe walau na kianzio.

ANdaa Orodha ya Vipodozi unavyoona vinatoka na namna utarudsha pesa yake, inawezekana.
Shukrani mkuu nakuchek pm
 
zungumza na jamaa zako wa karibu

ukiona huna wa kukupa hiyo pesa jitafakari huenda tatizo ni wewe au wale wanaokuzunguka na mara nyingu tatizo huanza na wewe ndugu
 
Mpaka unakuja humu jf ni ushahidi tosha haukopesheki
Bado hujajua JF ni nini...

Kwa kirefu ni JAMII FORUM

Maana ya JAMII nayo unahitaji maana yake?

Unahisi JF ni kama Mtu hivi sio mkuu? JF sio MTU ielewe maana ya JF kwanza kabla hujaiweka katika sentensi zako.

Unahisi ni kama nimekuja kumuomba mtu anaitwa JF msaada sio mkuu?

Swali : JF ni nini?
 
Locationa niliopo bado naitaka mkuu ndo maana nashindwa,labda nipate mtu nimuuzie dawa zote aniachei frame na furniture zangu
Tangaza Mkuu mbona wanunuzi wapo, unauza bidhaaa sio frem mbona wengi tushafanya hivyo na tukabaki na frem zetu?
 
Huna watu wanaokufahamu ama network ya watu wako muhimu,mliosoma nao, mnayofanya nao biashara ama kazi pamoja hata ndugu, ama nyie ndio wale ndugu jau
 
zungumza na jamaa zako wa karibu

ukiona huna wa kukupa hiyo pesa jitafakari huenda tatizo ni wewe au wale wanaokuzunguka na mara nyingu tatizo huanza na wewe ndugu
Sio kila pesa unaweza pewa na ndugu mkuu?

Nikupe kazi ya kuongea na Ndugu zako uwaombe wakupe 1BILION?

Ukikosa wa kukupa 1 BILION katika ndugu zako jitafakari na mara nyingi tatizo huanza na wewe ndugu.
 
nimekwambia jamaa zako sio lazima wawe ndugu wa damu

na pesa huwezi kupewa tuh kienyeji sijui kama unanielewa kijana
 
Mie namuona hapo juu anaroroma kuwa unaweza omba ndugu wakupe 1 bilioni, wasipokupa shida Iko kwa anayeiomba.
Angalia mabenki yanavyotoa pesa zao. Shida sie unatoa kisa tu emotional attachment ndio dhamana
 
Saivi kichwa chako Kiko blocked huwezi jua nachoongea , unataka Lile unaloamini litokee ama lifanyike.
Nimesema jamaa na marafiki yaani huna network since primary, kazini ama kwenye biashara zako hapo ulipo huna watu wanaokujua. Yaani bana pesa haifundishwi shuleni sijui kwa nini.
Kuipata hela inajumuisha kujitoa sadaka kv damu, machozi, maumivu,jasho, etc like unatembea juu ya moto ama juu ya miiba ama misumari unaenda kuchukua hela Sasa ukirudi unakutana na mtu anakuomba hela kirahisirahisi tu.
Mtu akaisotea hela kwa mwaka mzima ama mwezi mzima wewe unaitaka ndani ya dakika moja ama siku moja na unamwambia kuwa una shida kweli kweli
TAzama vitu nnje ya BOX mkuu
 
Back
Top Bottom