Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Nadhani ndio alichomaanisha kipodozi kinatembea na mzunguko hata hayo mawigi pia ni hela na yana mzunguko pia..Locationa niliopo bado naitaka mkuu ndo maana nashindwa,labda nipate mtu nimuuzie dawa zote aniachei frame na furniture zangu