Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Mi sinaga shobo ya kukutana na jf member aisee tukutane hapa tuachane hapa japo kuna watu wema, ila kuwapata ni kwa uweza wa mwenyezi MunguUmeongea kweli ..humu bwana maneno mengi sana , Kuna mtu alikutana na memba humu aliapa hatokaa akutane na memba humu kwa jins mtu anavyojikweza na alivyokutana nae na kumuona na zaidi akamwambia alikua anamtania tu hakujua kua atakua siriaz đźš®