Mi sinaga shobo ya kukutana na jf member aisee tukutane hapa tuachane hapa japo kuna watu wema, ila kuwapata ni kwa uweza wa mwenyezi MunguUmeongea kweli ..humu bwana maneno mengi sana , Kuna mtu alikutana na memba humu aliapa hatokaa akutane na memba humu kwa jins mtu anavyojikweza na alivyokutana nae na kumuona na zaidi akamwambia alikua anamtania tu hakujua kua atakua siriaz 🚮
Kausha Damu riba zao ni za kawaida shida ya Kausha Damu ni TIME LIMIT (MUDA)Kausha damu riba zao wanazitoa wapi?
Kazi ipo msitutaje wakurungwa pana muhuni alinikimbiza anataka Mazda CX-5 kumbe hana hata mpango wa kuagiza gari aisee..Umeongea kweli ..humu bwana maneno mengi sana , Kuna mtu alikutana na memba humu aliapa hatokaa akutane na memba humu kwa jins mtu anavyojikweza na alivyokutana nae na kumuona na zaidi akamwambia alikua anamtania tu hakujua kua atakua siriaz 🚮
JF ina watu wema inategemeana umekutana kwa jambo gani..Mi sinaga shobo ya kukutana na jf member aisee tukutane hapa tuachane hapa japo kuna watu wema, ila kuwapata ni kwa uweza wa mwenyezi Mungu
Nmeenda MKUU, kuna vitu tumeshindwana.Umeenda microfinance kuulizia?
Sijasema haina watu wema, nakubaliana nawe wapo ila sio kwa kukurupukaJF ina watu wema inategemeana umekutana kwa jambo gani..
Mkuu JF watu tunatumia majina Feki lakini hayaondoi uhalisia wetu.Kazi ipo msitutaje wakurungwa pana muhuni alinikimbiza anataka Mazda CX-5 kumbe hana hata mpango wa kuagiza gari aisee..
Wema wengi sana wapo na Wema hao kuwakuta kwenye Comment ni nadra mno mno mno.JF ina watu wema inategemeana umekutana kwa jambo gani..
Upo sahihi mkuu ila wengi niliofanya nao biashara kutokea humu wengi ni smart sana.Mkuu JF watu tunatumia majina Feki lakini hayaondoi uhalisia wetu.
Wengi huku ni WAONGO soma kila kitu humu kwa tahadhari na ukitaka lijua hilo omba ukutane na hao watu nnje ya JF
Pana mmoja ni kama ndugu yangu sasa hivi yupo smart sana big up kwake..Wema wengi sana wapo na Wema hao kuwakuta kwenye Comment ni nadra mno mno mno.
Yeyote mnae anzia nae kwenye Comment nenda nae kwa tahadhari.
Wema wengi ni watu wa direct msg yani ni direct to direct
Bahati yako MkuuUpo sahihi mkuu ila wengi niliofanya nao biashara kutokea humu wengi ni smart sana.
Mkuu unaweza kunipa mentorship ktk field husika? Nahitaji kujitosa huko!Mikopo ya mtu kwa mtu huleta shida sana baadae kwenye kurejesha
Ainisha dhamana zako hapa hapa kabla ya kufuatana PM
mimi niko kwenye field hiyo, changamoto ninazoziona ni nzito
👇👇👇
View attachment 3428316
Umeshindwana na microfinance ?? Bank?Nmeenda MKUU, kuna vitu tumeshindwana.
Mfano OYA anakwambia anakupa Hela uitakayo then Rejesho ni ndani ya WIKI, hilo rejesho la kila wiki unalitoa wapi?
Shida sio REJESHO mkopo shida ni MUDA wa urudishwaji wa hilo Rejesho Mkuu.
Amini usiamini, Kuna watu wamepata maisha makubwa sana ama kufanikisha mambo muhimu kwa connections na misaada ya members wa humu humu...so usibezeMi sinaga shobo ya kukutana na jf member aisee tukutane hapa tuachane hapa japo kuna watu wema, ila kuwapata ni kwa uweza wa mwenyezi Mungu
TIME TIME TIMEUmeshindwana na microfinance ?? Bank?
Hajabeza mkuu, ungemuelewa kidogoAmini usiamini, Kuna watu wamepata maisha makubwa sana ama kufanikisha mambo muhimu kwa connections na misaada ya members wa humu humu...so usibeze
Kwahiyo unataka mtu akupe mkopo bila kujiridhisha (verification) yoyote?TIME TIME TIME
Mkopo bank hautoki ndani ya wiki au siku kadhaaa
TIME TIME TIME pesa toka bank inahitaji verification nyingi hadi itoke
Ni nani kasema hayo?Kwahiyo unataka mtu akupe mkopo bila kujiridhisha (verification) yoyote?
Umesema bank wanahitaji verification nyingi.Ni nani kasema hayo?
Thamana unaweka nn?Msaada ndugu zangu, naomba mtu binafsi mwenye uwezo wa kunikopesha 13m kaa riba atakayoitaka yeye naomba anisaidie.
TUtakopeshana kisheria,mahakama, na taratibu zote tutafata.
Nina Shida ya DHARULA naomba msaaada nina DHAMANA kadhaa za mali zisizo hamishika.
Naomba msaada Tafadhali.
Alie tayari nitamfata PM yeyote ataeniduhusu nije Pm Kwake kwa msaada zaidi.
ASANTENI,MBARIKIWE NYOTE.