Sijabeza ninatambua kabisa kuna watu wa maana na wenye mioyo, wastaarabu, waungwana, mahndsome, ma qute, wenye maisha, wenye connection, wife material, husband material, wapo ila kukutana nao ndio shughuli ukikurupuka unakutana na vibaka.....binafsi hakuna member wa jf nimewahi onana naye