Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

Utamchanganya tu mtoto wa watu, hebu muacheni bado mgeni!
Hutaki ambiwe amerogwa!
Ntamuheshimu
Ntamstiri
Ntamlinda!
Ntamthamini!

Tutasoma nae Neno la Mungu, na Kuomba nae Tenzi za Rohoni,

Nitacheza nae kikia cha pweza! Mama chanja mama chanja, mwenzi njaa inaumaa.

Bado tu hutaki wifi? Nimlete nyumbani weekend,? Nimepikie wali wa Nazi na samaki wa kupara
 
Kenge mwenyewe kendraaa huko kazi kuniwekea kauzibe tuu....ebwana kwanza tuonge mambo ya msingi.
Kiwanja kimeshuka bei kutoka 6mil mpaka 4 mil
Hicho kiwanja si tushakubaliana barter trade mzabzab mbona unabadilika badilika
 
Haya, ngoja ajichanganye tu, aje ashuhudie mapicha picha hajawahi ona πŸ˜… atarudi humu JF kusimulia 🀣🀣🀣
 
Utanifanya nini sasa 🀣🀣🀣
Kama vipi na hiyo reply yangu uireport kwa rafiki zako mamods 🀣🀣🀣
Nimecheka kwa nguvu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Marafiki zangu wakina naniiiii?

Ntakukamataaa tuu ... Ngoja nikashtakiiiπŸ˜‚
 
Nimecheka kwa nguvu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Marafiki zangu wakina naniiiii?

Ntakukamataaa tuu ... Ngoja nikashtakiiiπŸ˜‚
Utanikamatia wapi mdogo akeee 🀣🀣🀣
Kashtaki waje wafute πŸ˜…

Nesi kungwi akija DM huyo usimruhuru hata akutongoze we mkatalie tu, hana lolote ni jobless wa kitanga πŸ˜… mapenzi yake yana masharti, we msukuma huyawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…