Naomba mnisaidie niweze kula vizuri๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ

Mimi hapa nikae tu na mimi nijifunze nikisema nijitie uchef naweza kuharibu kabisa appetite ya mtoa mada๐Ÿ˜ท
 
Umemaliza, sina cha kuongeza kwa sasa.
 
Abee
 
Kula vizuri ..ni kitafuna huku umefumba mdomo basi ... Hakuna kula vizuri zaidi ya hapo.....
Kwanza nimecheka sana aseh!!, Lkn kula vizuri, ni tafsiri ya mtu mwenyewe,,mi naweza kwambia mfano kwangu chakula kizuri ni ugali wa dona kwa mboga ya senene walioungwa baada yakukaangwa kwenye mafuta na baadae nyanya na vitunguu baasi,naridhika sana,pia mboga iyo iyo kwa ubwabwa,ndizi nk,kama wapenda chukua hiyo.
 
Shawarma sehemu nyingi elf 5, urojo sehemu nyingi elf 2 mpaka 3, ushakunywa uji wa ngano nzima?? Mtindi na viazi vitamu je? Au uchemshe karanga zenye maganda zile weka chumvi unapochemsha unashuhia na mango juice ya baridi.. sometimes nunua chocopops or your fave cereals kula na maziwa fresh au kata matunda au salad!!

Bila kusahau chapati za kumimina, kuku/samaki ya kukaanga + chai ya maziwa! Hapo snacks kama pringles, lays, danish cookies ziwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ