Mashine kukata umeme/moto ni tatizo dogo, kwanza ondoa hofu, pili dawa yake ni mazoezi tu asubuhi ya kukimbia (Jogging), hakikisha unakimbia mpaka jasho zito litoke. Fanya muda wa week mbili tu utapata majibu mazuri, na kila siku ongeza umbali sio unakimbia dakika 5 tu. Hii itakujenga ki saikolojia, pumzi, kuondoa sumu mwilini ya vyakula vya madawa, na kuchemsha damu/mishipa.
Atakaekuambia wire kwenye mashine zinagusana na kusababisha shoti ya umeme, au kuna shoti imesababisha kukata fuse, si kweli.