Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Naomba msaada: Uume wangu hulegea wakati wa tendo

Good, basi una "plus" nyingi kuliko negatives lione hilo na likupe nguvu kwamba atleast una vitu vya kujivunia vingi zaidi. Kumbuka hiyo practice ya hizo sehemu nilizotaja siyo ya kudumu usifanye kwa muda mrefu, kama umeshajaribu na ukafanikiwa basi inatakiwa uelekeze nguvu zako sasa ktk real event "K". Usiiogope K izoeee ondoa hofu ya mbunye " mbunyephobia ha ha ha (joke) kuuubwa hapa mkuu ni wewe kukontrol akili yako tu....utafanikiwa tu, hata kama ukifail isikunyime usingizi.
Ukizingatia hii baaaaaas, umemaliza.
 
Mkuu hutaki tu kusema ukweli lakini nahisi mke wako atakuwa na K pana ambayo haibani vizuri mashine yako. Mwambie mkeo awaone wataalamu wampunguzie upana wa K Ili uweze kuenjoy issue, vinginevyo utazeeka ukimtafuta mchawi bila mafanikio. Ni hayo tu mkuu.
Hujui ulisemalo!
 
Hutaki tu kuelewa nilisemalo kwa sababu unazozijua wewe.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Umeeleweka mkuu ila ulichokisema hakina ukweli wowote ndyo mana watu wanakupinga.

Unaambiwa dushe inalegea mpaka inashindwa kuingia katika k kutokana na ule unato wa k yenyewe we unasema k pana?!

Ndyo mana watu wanakupinga kwa sababu bado akili yako changa katika hili.
 
Mashine kukata umeme/moto ni tatizo dogo, kwanza ondoa hofu, pili dawa yake ni mazoezi tu asubuhi ya kukimbia (Jogging), hakikisha unakimbia mpaka jasho zito litoke. Fanya muda wa week mbili tu utapata majibu mazuri, na kila siku ongeza umbali sio unakimbia dakika 5 tu. Hii itakujenga ki saikolojia, pumzi, kuondoa sumu mwilini ya vyakula vya madawa, na kuchemsha damu/mishipa.

Atakaekuambia wire kwenye mashine zinagusana na kusababisha shoti ya umeme, au kuna shoti imesababisha kukata fuse, si kweli.

Kama unavuta sigara acha mara moja na pendelea kula matango (na maganda yake).
 
Sometimes kuna mengi!! Inawezekana ni hisia zako zinazokufelisha kabisa!! Ama haupo sawa kiakili labda kuna jambo linakukabili ilitaka kupelekea stress!! Hizo ndizo athari zake.

Pili, badilisha mazingira na mkeo!! Siku moja badala ya kulala ndani tumieni 40,000 tuu toka nenda hotel mbali na hapo mkalale huko!! Kuzoea sana mazingira husababisha jambo lile kufanyika vile vile kila siku katika style zile zile maeneo yaleyale lazima akili ichoke jombaa!!

Tatu, punguza chips na soda!! Sikupigi dongo ila namaanisha inawezekana kuna vyakula unakula sana vinapelekea wewe kupata fatigue na hujielewi!! Matokeo yake ukitulia anasimama ukianza kujishughulisha ndipo athari zinaonekana na hapo ndo unashindwa kuendelea na tendo mzeebaba anageuka konokono anarudi katika jumba lake!!

Mwisho, mazoezi ni kila kitu!! Mwili ukiwa vizuri kila kitu kitakwenda sawa katika mwili kuanzia na akili hadi duduwasha ataweza kuwajibika vyema na kukata kiu ya mkeo!!

Kionjo: Kama mkeo ni mama wa nyumbani basi mpendezeshe, hadi ukikaa nae karibu unajisi eeeeh upo na chombo!! Ianwezeka a yupo rafurafu na akili imemkataa yaan amekuwa si viwango vyako tena

Kwa mchango huu na mimi naaza mazoezi Duh
 
Unatatizo la hofu, na kisaikolojia.
Inaonekana unakuwa na hofu kuwa uume utalala.

Jaribu kufanya mazoezi ya kukimbia, kamba, kichurachura, squats.
Pendelea kunywa tangawizi, asali, kitunguu swaumu, karanga na maziwa na maji ya kutosha.

Mwisho kabisa ni kujiamini, hili ndo wapaswa kuzingatiaa kwa asilimia kubwa.
Kama kaacha nyeto basi hili ndio jibu la tatizo lake.
 
Kama kaacha nyeto basi hili ndio jibu la tatizo lake.
Mku niliachaga hyo kitu muda kidogo ila tu sikuitia akilini kwamba imeniletea madhara.

Nikawa free nakula vitamu vitamu sina mazoezi wala nini ila nyeto nilishaachaga
 
Wakuu nimefika maji ya shingo mwanaume mwenzenu tafadhali.

Ninamke wakuu ila tatizo kwngu uume unalegea katikati ya tendo alafu pia majuzi nilikuja na uzi wa kuomba mafuta ya kulainisha ili iwe rahisi kuingiza dusher katika uke wa mke wangu kutokana na uume wangu kulegea baadhi ya muda hivyo unakuwa hauingii vizuri.


Ajabu ni kwamba

Nikiamka asubuhi uume unasimama na unakuwa mgumu kama msumari mpaka wife mwenyewe anasifia mmmh mume mbona mgumu kama jiwe.

Nikiwa katika romance unakomaa haswa unakuwa mgumu kweli kweli ila nikianza kuingiza mda fulani unalegea legea.

Sehemu zingine zote uume unasimama imara ila nikiwa katika tendo daaaah inauma sana alafu wife yuko vizuri wakuu nusura nilie machozi kwa sababu ishUK naitamani ila jogoo kalegea,natamani ikisimama tu kama msumari niingize ili iingie udhuuuriii lakini naona sio vyema kuingiza kabla ya kumuandaa naye ataumia.

Nimeacha punyeto mda sana ila nilichukulia kawaida sikutaka kujitibu kwa sababu sikuamini kama imeniathiri.

WAKUU MWENYE NJIA YA KUNISAIDIA TAFADHALI AILETE TAFADHALI SANA WAKUU NAWAOMBENI


POLE SANA.
NAKUSHAURI UKAWAONE MADAKTARI WANAWEZA KUKUSAIDIA TIBA. PIA YAWEZEKANA UMEATHIRIKA KUSAIKOLOJIA HIVYO TAFUTA WASHAURI ILI WAKUSHAURI
 
Moja ya Uzi bora na ambao uko serious ni huu hapa, yani umebeba matatizo ya watu zaidi ya milioni na ambaye ameupitia huu uzi akausoma kwa makini pasipo kuwa na shughuli nyingine inayo mshughulisha atakuwa kaokota kitu hapa..
 
Mku niliachaga hyo kitu muda kidogo ila tu sikuitia akilini kwamba imeniletea madhara.

Nikawa free nakula vitamu vitamu sina mazoezi wala nini ila nyeto nilishaachaga
Then jiamini, ondoa woga,tena ukiweza jipe likizo ya kuto sex kwa mwezi au zaidi (ukiweza) piga zoezi, zingatia chakula bora!!
 
Wacha nitafanya hvyo wife akisafiri nitapata wasaa mzuri sana.

Nimeanza na 4km asubuhi na jioni kisha itakuwa kila siku lazima nipate chai ya tangawizi na karanga mbichi.
Then jiamini, ondoa woga,tena ukiweza jipe likizo ya kuto sex kwa mwezi au zaidi (ukiweza) piga zoezi, zingatia chakula bora!!
 
Nimeanza jana mazoezi kukimbia km 4 mpaka jasho linanitoka lile jasho hasa.
Nina uchungu sana nikikimbia navuta picha udhalili ninaokutana nao kitandani napata molari zaidi ya kufanya mazoezi.

Bado nakomaa nitaleta mrejesho kwa wadau hapa hapa.
 
Back
Top Bottom