Nikwambie kitu Sasa,Ni kweli,lakini zingatia. Mwanaume hawezi kuwa huru ukweni,hasa kwa hao waliotaka afungwe. Mwanamke hatokuwa huru ukweni,maana atawajua walioshauli aachane na ndugu yao
Kwann?Kama mzazi, nakushauri kwa faida ya binti yako, abort hiyo mimba, binti arudi masomoni, binti apewe elimu ya kuzuia mimba maana keshakua ni sexual active
Bora umekuja mama mtumishi nilitaka nikuiteNyie wapuuzi kweli
Mtu Yuko chuo unataka msaada wa kisheria?
Ili kiwe nn?
Alibakwa,alilazimishwa?
Hapo busara zinahitajika zaidi kuliko hasiraWatu wa jukwaa hili habari zenu.,
Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.
Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.
Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Syo diploma tu hata certificate akipewa mimba wazazi hamna mamlaka yoyote sabab ni mtu mzmaMsaada kisheria kwa binti wa chuo kikuu au diploma?
Hii familia wajingaBora umekuja mama mtumishi nilitaka nikuite
Mbaya zaidi wanataka kumshtaki mkwe wao..sasa akifungwa jela..si inabidi binti yao awe anaenda gerezani kumuona baba wa toto wake ...Hii familia wajinga
Mnakaa kikao Kwa ajili ya mwanachuo?
Kwanza walitakiwa washukuru Mungu mhusika kakubali means Yuko tayari kuwa responsible!.
Wangepata ambae angekataa na kusepa ndo akili ingewakaa sawa
wanataka binti yao awe single momVijana washapendana, wao wanaleta unoko. Kama Wazazi walitakiwa kuwapa counseling na kuwawezesha waanze maisha Kisha wawaozeshe maana kijana alietia mimba Yuko serious, ana Nia ya kuoa
Hongereni Kwa kupatiwa malaikaWatu wa jukwaa hili habari zenu.,
Nimepitia comments zenu nyinginyingi nashkuru sana..! mjadala huu naomba ufungwe mod.,
Siku zote,kuna wakati mtu mmoja anajifanya amefunga mlango,kumbe ndo linaenda kufunguka geti mkuu.Nikwambie kitu Sasa,
Familia nyingi zinazopitia kipind Cha kukataliwa Kama hivi huwa zinakuja kujenga bond moja strong Sana na huwa wanapata Sana riziki na kutoboa kimaisha.
Maana ile kujua TU, tayar tushatengwa na familia, tunapaswa tupambane kivyetu,tukifeli hakuna wa kumlilia shida zetu au kumkimbilia inawafanya wawe na nidhamu kubwa Sana ya kimaisha.
Mifano IPO mingi Sana, mingine ya ndugu zangu wa damu, nmeona wakifanikiwa Sana.