Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

Ni kweli,lakini zingatia. Mwanaume hawezi kuwa huru ukweni,hasa kwa hao waliotaka afungwe. Mwanamke hatokuwa huru ukweni,maana atawajua walioshauli aachane na ndugu yao
Nikwambie kitu Sasa,
Familia nyingi zinazopitia kipind Cha kukataliwa Kama hivi huwa zinakuja kujenga bond moja strong Sana na huwa wanapata Sana riziki na kutoboa kimaisha.

Maana ile kujua TU, tayar tushatengwa na familia, tunapaswa tupambane kivyetu,tukifeli hakuna wa kumlilia shida zetu au kumkimbilia inawafanya wawe na nidhamu kubwa Sana ya kimaisha.

Mifano IPO mingi Sana, mingine ya ndugu zangu wa damu, nmeona wakifanikiwa Sana.
 
Kama mzazi, nakushauri kwa faida ya binti yako, abort hiyo mimba, binti arudi masomoni, binti apewe elimu ya kuzuia mimba maana keshakua ni sexual active
Kwann?
Alizaa anapungukiwa nn?
Wako waliojaribu kutoa waliishia kufa, wengine vizazi kuharibika etc

Huu sio ushauri mzuri
 
Hapa utapata ushauri kutoka kwa MACHEKIBOBU wasiojua maisha wala thamani ya mwanamke.

Kwa familia ni aibu binti kupigwa mimba akiwa hajaolewa. Ni fedheha na maumivu makali sana kwa mzazi.

Binti kawatia aibu kubwa, hilo lazima mlimeze zima zima na mlinywe. Poleni sana.

Cha muhimu na cha sekondari ni kuwafungisha ndoa haraka na kuwacharaza bakora za kurudisha nidhamu
 
Watu wa jukwaa hili habari zenu.,

Nadhani nipo kwenye jukwaa sahihi, ndugu yangu amepachikwa ujauzito na mvulana amekiri, bint yangu alikuwa mwaka wa kwanza chuo sasa amelazimika kukatisha masomo ili ajifungue.

Familia tumekataa ndoa kwa sababu mbali mbali, lakini tunafkiria kuchukua hatua za kisheria.

Naomba msaada wa kisheria. labda tuanzie hapa
Hapo busara zinahitajika zaidi kuliko hasira
 
Hii familia wajinga
Mnakaa kikao Kwa ajili ya mwanachuo?
Kwanza walitakiwa washukuru Mungu mhusika kakubali means Yuko tayari kuwa responsible!.
Wangepata ambae angekataa na kusepa ndo akili ingewakaa sawa
Mbaya zaidi wanataka kumshtaki mkwe wao..sasa akifungwa jela..si inabidi binti yao awe anaenda gerezani kumuona baba wa toto wake ...

Kuna familia ni maandazi kabisa..zinahitaji kuombewa
 
Vijana washapendana, wao wanaleta unoko. Kama Wazazi walitakiwa kuwapa counseling na kuwawezesha waanze maisha Kisha wawaozeshe maana kijana alietia mimba Yuko serious, ana Nia ya kuoa
wanataka binti yao awe single mom
 
Bora huyo jamaa apewe ushauri akubali hiyo mimba, mumfunge harafu mtoto mlee nyie?
 
Nikwambie kitu Sasa,
Familia nyingi zinazopitia kipind Cha kukataliwa Kama hivi huwa zinakuja kujenga bond moja strong Sana na huwa wanapata Sana riziki na kutoboa kimaisha.

Maana ile kujua TU, tayar tushatengwa na familia, tunapaswa tupambane kivyetu,tukifeli hakuna wa kumlilia shida zetu au kumkimbilia inawafanya wawe na nidhamu kubwa Sana ya kimaisha.

Mifano IPO mingi Sana, mingine ya ndugu zangu wa damu, nmeona wakifanikiwa Sana.
Siku zote,kuna wakati mtu mmoja anajifanya amefunga mlango,kumbe ndo linaenda kufunguka geti mkuu.

Haya maisha!!!!! Yaacheni.
 
Ulitaka upachikwe ww?

Subiri ajifungue umnyonge huyo mtoto umuuwe,

Any way nenda polisi kafungue jalada kesi ianze
 
Back
Top Bottom