DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Nikwambie kitu Sasa,Ni kweli,lakini zingatia. Mwanaume hawezi kuwa huru ukweni,hasa kwa hao waliotaka afungwe. Mwanamke hatokuwa huru ukweni,maana atawajua walioshauli aachane na ndugu yao
Familia nyingi zinazopitia kipind Cha kukataliwa Kama hivi huwa zinakuja kujenga bond moja strong Sana na huwa wanapata Sana riziki na kutoboa kimaisha.
Maana ile kujua TU, tayar tushatengwa na familia, tunapaswa tupambane kivyetu,tukifeli hakuna wa kumlilia shida zetu au kumkimbilia inawafanya wawe na nidhamu kubwa Sana ya kimaisha.
Mifano IPO mingi Sana, mingine ya ndugu zangu wa damu, nmeona wakifanikiwa Sana.