Omy2000
Member
- Aug 24, 2020
- 42
- 31
Certificate ya hii course ninayo ,nimeatach kila kitu tatizo linakuja section ya kuapply inagomaEm tuandikie hapa academic qualifications zinazohitajika kwenye hy kazi na pia tuambie kwenye cheti chako imeandikwa vipi
Itapendeza kama ukiweka screenshot na hizo academic qualifications za kwenye kazi ili usaidiwe kirahisi