Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

Naomba nisaidiwe tatizo hili Ajira portal

Em tuandikie hapa academic qualifications zinazohitajika kwenye hy kazi na pia tuambie kwenye cheti chako imeandikwa vipi
Itapendeza kama ukiweka screenshot na hizo academic qualifications za kwenye kazi ili usaidiwe kirahisi
Certificate ya hii course ninayo ,nimeatach kila kitu tatizo linakuja section ya kuapply inagoma
Screenshot_20210821-142028_1.jpg
 
Habari zenu!!
Jamani Mwenye kuweza kunisaidia, account yangu iko poa kabisa na nishawahi kua aplai nikasailiwa kwa ajiri ya interview ,
Lakini sasa hivi imegoma kila nikijaribu naandikiwa maneno hayo chini !!!
Nimejaribu ku update kwa hizo CSE/ACSE lakini bado tu

Mwenye ujuzi anisaidie

Screenshot_20210821-074451_Chrome.jpg
 
Hilo tatizo linatokana kutoweka vyeti husika.....mdogoangu ndo kaniambia apa
Ndo hvy, ajira portal academic qualifications zake inatakiwa ifanane kila kitu na jinsi cheti kilivyo. Mfano mtu akiwa na bachelor ya finance hawezi kuomba kazi ya bachelor ya banking and finance sasa inawezekana tatizo la mtoa mada liko hapo
 
Mkuu nimesoma instructions nikaelewa..lakin nashindwa kutuma application ndio maana nipo hapa kuomba msaada
Ndo hvy, ajira portal academic qualifications zake inatakiwa ifanane kila kitu na jinsi cheti kilivyo. Mfano mtu akiwa na bachelor ya finance hawezi kuomba kazi ya bachelor ya banking and finance sasa inawezekana tatizo la mtoa mada liko hapo
Umesema sahihi Ezekiel Mbaga mfumo wa ajira portal unataka taarifa zi match exactly kama mfano ulio utoa
Yaaan wakisema BA Edu hata kama umesoma BEdu ..yaan BEdu huna sifa tayar hapoo kiukweli jamaa inabidi wauangalie upya huu mfumo wao
 
Nursing assistant
Daah ww jamaa bhana, yn bado mtu atashindwa kujua tatizo lako mana bado unaandika kwa ufupi, ajira portal ina ujinga mwingi sana wakisema wanataka 'certificate in mass communication' bc ni lazima cheti chako kiwe kimeandikwa hvy hvy kama ikiwa ni 'certificate in mass communication management 😂😂😂 itakataa. Sasa ww naona bado huwezi kusema cheti chako kimeandikwaje. Ila muda kama bado upo unaweza kuwachek kwenye namba zao
 
Umesema sahihi Ezekiel Mbaga mfumo wa ajira portal unataka taarifa zi match exactly kama mfano ulio utoa
Yaaan wakisema BA Edu hata kama umesoma BEdu ..yaan BEdu huna sifa tayar hapoo kiukweli jamaa inabidi wauangalie upya huu mfumo wao
Pia wakitaka mfano 'degree in finance' halafu hapo hapo wakasema pia wenye 'degree in banking' wanaweza kuomba, ww ukiwa na hiyo degree in banking huwezi kuomba 😂😂😂
Mm nadhani walioitengeneza hy systems pia akili zao zinatakiwa kutengenezwa.
 
Daah ww jamaa bhana, yn bado mtu atashindwa kujua tatizo lako mana bado unaandika kwa ufupi, ajira portal ina ujinga mwingi sana wakisema wanataka 'certificate in mass communication' bc ni lazima cheti chako kiwe kimeandikwa hvy hvy kama ikiwa ni 'certificate in mass communication management [emoji23][emoji23][emoji23] itakataa. Sasa ww naona bado huwezi kusema cheti chako kimeandikwaje. Ila muda kama bado upo unaweza kuwachek kwenye namba zao
Bro sijui hujaelewa wapi? Chet changu kjmeandikwa nursing assistant na nimejaza sehemu zote nimefikia 92% shida nikituma inagoma inaandika nicheki accademic program...na kuhusu inshu yako hii ni Mara ya pili naaply nishawahi aply first around ilikubali na niliitwa kwenye interview.
 
Em jaribu kuwapigia boss wangu
 
Pia wakitaka mfano 'degree in finance' halafu hapo hapo wakasema pia wenye 'degree in banking' wanaweza kuomba, ww ukiwa na hiyo degree in banking huwezi kuomba 😂😂😂
Mm nadhani walioitengeneza hy systems pia akili zao zinatakiwa kutengenezwa.
Kabisa kaka yaan huu mfumo umewafanya wafanya kazi wa utumishi wasifikirie nje ya box kabisa yaan
Yaan ni visanga
 
Habarini za uzima, samahani naomba kujuzwa...huwa inachukua mda gani kwa ajira portal kutoa majina ya usaili Baada ya deadline?
 
Habarini za uzima, samahani naomba kujuzwa...huwa inachukua mda gani kwa ajira portal kutoa majina ya usaili Baada ya deadline?
 
Habari za wakati huu wapendwa,

Katika website ya ajira portal kuna hii changamoto ya kutotambulika kuwa umesoma course fulani ingawa iyo course ni miongoni mwa Majors zako.

Shida ni kuwa katika jina la degree yako kile kitu ambacho ume-major hakiandikwi.

Kwa mfano tangazo la kazi linahitaji mwalimu wa History lakini jina la course yako ni Bachelor of Arts with Education, hapo mfumo moja kwa moja unakukataa lakini mtu aliesoma Bachelor of Education in History and Kiswahili mfumo utakubali kwakua neno History lipo kwenye jina la degree programme yake.

Hapo mtu anakosa nafasi ya kufanya maombi ingawa sifa anazo, Tena unaweza kuta uyu mtu alieshindwa kuomba ndio ana courses nyingi zaidi katika fani husika kushinda yule mwengine.

Tunaomba mfumo uwe na sehemu ya ziada ya kuandika vitu ambavyo muombaji amevisoma (Majors) lakini havionekani katika jina la degree yake. Hii itasaidia na wengine kutambulika na kupata nafasi ya kufanya maombi katika fani zao.
 
Back
Top Bottom