Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

Jo sometimes nalinganisha akili zako na za ndugai
Tuko pamoja na wewe! Huyu mtu pamoja na kuonekana mchangiaji mkubwa JF lakini kumbe akili zake bado ni za level ya chini kiasi hiki?
Kimfananisha na Ndugai unaweza kuwa umempa hadhi, huyu ni sawa na Musukuma Kasheku ambaye anaongea sana Bungeni lakini hakuna la maana zaidi ya yeye kudhani anamwaga points
 
Akili yako kichwa maji kabisa, cdm ndo wanaokusanya kodi?
 
Aisee nimepita mikoa mingi stendi ya moshi iko safi tatizo sio chadema tatizo ni mipango miji hii stendi iko katikati ya mji kitu ambacho hakikupangiliwa kwa utashi ila naskia kuna eneo liko Toyota sijajua itamishwa lini
Rudi tena jijini Dodoma, ndio utaelewa namna stand inapaswa iweje

Nimetembea mikoa mingi, ila ile bus terminal ya Dodoma ni ya kiwango kizuri sana sana

BIG up kwa waliokuwa viongozi wa jiji la Dom Dk Mahenge, Godwin Kunambi na Patrobas Katambi
 
Rudi tena jijini Dodoma, ndio utaelewa namna stand inapaswa iweje

Nimetembea mikoa mingi, ila ile bus terminal ya Dodoma ni ya kiwango kizuri sana sana

BIG up kwa waliokuwa viongozi wa jiji la Dom Dk Mahenge, Godwin Kunambi na Patrobas Katambi
Rudi kwenye comment angu
 
Mbunge anajenga stand au mkurugenzi?
 
Moshi tulikua Na stendi nzuri way back 2006. Wewe unakuja kuuliza leo?
 
Stendi ya moshi ni nzuri sana
 
Wabadili matumizi kiwe kiwanda cha mbege!
 
Msukuma akija Chadema anapewa uenyekiti wa taifa saa moja asubuhi!
 
Bukoba imeogozwa kila Aina ya chama.
Cuf 2000-2005
CCM 2005-2015
Hawa walipewa hela ya stendi wakaanza kugombana CCM wao Kwa wao

Chadema 2015-2020.
Hawa walianza ujenzi wa stendi kule kyakairabwa na walishindwa kuimaliza Kwa sababu ya siasa za kichama za jiwe.

CCM 2020 to present.
Wapo kimya Tu mbunge anasema stendi na soko vitajengwa na wanabukoba wenyew as if hawalipi Kodi.


Meanwhile stendi ya mji mkongwe na muhumu wa bukoba
 
Bukoba uwekezaji wao upo Airport..
Ina uafadhali kuliko ya Mwanza...

Kwenye stand ni tope tu limejaa pale halifananishiki na popote
Walijenga airport kwanza ambayo nayo walijenga ndogo mno kulinganisha na abiria.
Nayo wakaijenga mjini wakabana mji na kusababisha folen kwenye baadhi ya barabara.

Sasa naskia bukoba stendi hela hakuna wakati na magari mengi Sana kuliko hata stendi ya kibaha ambayo haina magari kabisa


Hiv kibaha pesa walitoa wap
 
Tope tupu.

Ya Moshi wamejenga kwenye chemchem ya maji!

Wahaya na Wachaga akili zao zinafanana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…