Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Unadanisha uji na mbege.Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa.
Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao.
Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa Sugu hali ikoje.
Mungu ni mwema wakati wote!
Moshi ianafanana na Manhataan na baado inajengwa mpya pale nganga mfumuni, wewe endelea na wahaya wako huko.