Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa.

Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao.
Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa Sugu hali ikoje.

Mungu ni mwema wakati wote!
Unadanisha uji na mbege.
Moshi ianafanana na Manhataan na baado inajengwa mpya pale nganga mfumuni, wewe endelea na wahaya wako huko.
 
Huyu mbunge yupo sawa kweli?
Hizi fedha ni mikopo nafuu kwa ajili ya miundo mbinu
Kama katavi
barabara za mitaa dar
Singida
Moro
Moshi
Korongwe na kwinginepo

Lakini pia kama imeshindikana basi Mkuu wa Mkoa, Mbunge wakitengeneza fund raising wapate billions kadhaa mbona inapatikana tu kuna wahaya wengi nje ya nchi na wengine ndani ya nchi wana hela na wanaweza kuijenga Bukoba kwa mikono yao
Byabyato vipi huyu jamaa
.
Inaonekana viongozi wa bukoba wanaogopa kukopa

Huwezi kuwa kiongozi ukaacha stendi vile ukichindwa ndan ya mwezi inabidi ujiuzulu na viongozi wa serikali kuu wameridhika

Hata jiwe alipita pale kila siku kwenda kwenye Ranchi zake kule karagwe but alikuwa na siasa za ajabu.

Naskia manispaa ya bk imetenga million 14 Tu na sio waiamishe pale Bali warekebishe mitaro huku ikibaki ya tope.

Yaan wahaya madon wakina Dr Remmy wanajenga pavements zao tena nzr kwenye sheli zao yaan wanaishinda manispaa ya bukoba inayokusanywa Kodi bure
 
Duh ni Tanzania hapa? Embu ona maeneo ya jirani na stend mpya ya Moshi huko Rau Mmawia. View attachment 1797910
Hata maeneo mazuri bukoba yapo.

Kama hapa maeneo ya kiroyera beach

Changamoto ya bukoba ni stendi ya mabasi na baadhi ya miundombinu
Screenshot_20210526-151520.jpg
Screenshot_20210526-151528.jpg
 
Fikra zake hazijafa!
Kwa sasa ukimsifu jiwe unaonekana kama sio mwehu basi hanidhi !!!
Yan nikiangalia clip za jiwe huwa najiuliza maswali mengi sana!!?
Nini kilitokea mpaka akawa presidaaa !!! Am sure hata within the green party walijuta!!!
Hebu fikiria mama alivyomfunika!!!
Yan gap LA jiwe hakuna kabisa!!! A PhD holder anafunikwa na mwanamke!?? Shame!!!
Hivi kuna hotuba hata moja ya jiwe inaweza kua memorable!!?? For next generation!??
 
Location ya stendi za sehemu mbili zipo tofauti bukoba ipo pembeni ya mji na ya Moshi katikati ya mji.

Piga picha mji wa bukoba kueleka ziwa Victoria na bandarini ndo inaendana na picha hiyo ya Moshi.

But all in all stendi ya bukoba ni mbovu nakubali 100%
Screenshot_20210526-184459.png
Screenshot_20210526-184614.png

Mji ubavyoonekana ukiwa angani
 
At least hapa but umeonesha maeneo machache .tuseme old bukoba yaan kata mbili za miembeni na bilele.ambazo ndo zinatengeneza sehemu kubwa ya tambalale uliyopost hapa.sijaona kata za rwamishenye,kashai,kisindi,nshambya ndo haipo kabisa,kahondo,ijuganyondo,buhembe ,kahororo ,nyanga,bakoba yenye bandari bila shaka kwenye picha zako no bandari,pamoja na kata kahororo ambayo ipo milimani

Bukoba ni Pana na ina milima milima. Na kuna milima imejengeka vzr Sana kama vilima vya kashura,migera na kibeta
 
Unaona unavyopata shida kupiga picha ya bukoba yote ukiwa angani na bado ulikuwa mbali Sana na nyumba.Bukoba imepanuka mno na ina vilima vilima. Sio kama moshi mji mdogo ni rahisi kuchukua picha yote.

Imagine hapo naona kata mbili Tu ya bilele na miembeni plus bakoba kidogo no kashai no rwamishenye no nshambya nk nk
 
At least hapa but umeonesha maeneo machache .tuseme old bukoba yaan kata mbili za miembeni na bilele.ambazo ndo zinatengeneza sehemu kubwa ya tambalale uliyopost hapa.sijaona kata za rwamishenye,kashai,kisindi,nshambya ndo haipo kabisa,kahondo,ijuganyondo,buhembe ,kahororo ,nyanga,bakoba yenye bandari bila shaka kwenye picha zako no bandari,pamoja na kata kahororo ambayo ipo milimani

Bukoba ni Pana na ina milima milima. Na kuna milima imejengeka vzr Sana kama vilima vya kashura,migera na kibeta
Sasa ukitaka kuona mji wote itabidi ipigwe picha ya mbali kitu ambacho utaona ukijani tu kama hivi
Screenshot_20210526-200415.png
Screenshot_20210526-200552.png
 
Mimi mwenyewe nashangaa kukutana na vitu kama hivi huko Moshi vijijini instanbul, Mmawia.View attachment 1798569
Pamoja na kuwa bukoba kuna stendi mbovu.but wananchi wa mkoa huu hasa wahaya hawapo nyuma katika sekta ya kujipenda.

Hii nyumba ni kwao happiness Remigius aliyeolewa juzi maeneo ya kyaka misenyi bukoba vijijin huko .

Nikuulize fazili just imagine unaoa humu wew Una ukwasi wa namna gan

Wahaya pamoja na sifa zao but wanajipenda mno hasa kimakazi
Screenshot_20210526-153258.jpg
Screenshot_20210526-200234.jpg
Screenshot_20210526-200422~2.jpg
Screenshot_20210526-200422.jpg
 
Sasa ukitaka kuona mji wote itabidi ipigwe picha ya mbali kitu ambacho utaona ukijani tu kama hivi View attachment 1798611View attachment 1798612
Bado hujamaliza mji wote. Umeishia kagemu bado kata mbili hazipo .

Na upande wa kulia ukaishia mafumbo bado kata za kahororo na sehemu za kashai hazionekani zimefunikwa na mlima.

Bukoba ni ngumu kupiga picha mji wote na ukiupiga basi hautaona kitu chochote maana utakuwa mbali mno.

Bukoba imepanuka Sana. Kutoka hapo Tu kagemu mpaka bandarini ni zaidi ya 10 km pima kama utajaribu distance.bado kyakairabwa mpaka airport, kyakairabwa bunena ,

Kahororo ipo mbali mno ni kama 15 km kutoka rwamishenye. Bukoba inapanuka Sana pembeni kuliko katikati.

Kama unavyoona bukoba haijabanwa na vijiji kama moshi. Bado kuna viwanja kibao kule bulibata na buhembe plus kyakairabwa tofauti na Moshi iliyobanwa na vijiji.

Anyway ukiangalia hata satellite images bukoba ni kijani na imejengeka pembeni kuliko katikati ya mji kwenye utopolo kama stendi
 
Bukoba imesambaa eneo kubwa kuliko Moshi
 
Back
Top Bottom