instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Bora hao wachaga wamejenga na stendi yao ya sasa sio mbovu kama ya bukoba.Tope tupu.
Ya Moshi wamejenga kwenye chemchem ya maji!
Wahaya na Wachaga akili zao zinafanana!
But bukoba toka nimekuwepo hauna stendi ule mji kabisa.
Mji mdogo wa kibaha Una stendi nzr but bukoba manispaa kabisa but vichochoro