instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Jaribu kutumia java open Street map maarufu kama Josm. Inaonyesha vzr picha za satellite kuliko Google earth.Bukoba imesambaa eneo kubwa kuliko Moshi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu kutumia java open Street map maarufu kama Josm. Inaonyesha vzr picha za satellite kuliko Google earth.Bukoba imesambaa eneo kubwa kuliko Moshi
Poa mkuuJaribu kutumia java open Street map maarufu kama Josm. Inaonyesha vzr picha za satellite kuliko Google earth.
View attachment 1798657View attachment 1798658View attachment 1798659View attachment 1798661View attachment 1798660View attachment 1798664
Some where in bukoba outskirtsMimi mwenyewe nashangaa kukutana na vitu kama hivi huko Moshi vijijini instanbul, Mmawia.View attachment 1798569
Picha za Rwanda hizi.
Labda ukiangalia stendi na soko but kimajengo,upana na mandhari big no
Ahaa bukoba pashakua Rwanda tena.[emoji28]P
Picha za Rwanda hizi.
We huoni bukoba umepigia picha mbali mno hata haionekani vzr.bukoba ni mji wenye milimaView attachment 1799016
Bukoba haina mipango,haina tofauti na Mbagala
Tuseme ukweli huwezi linganisha bukoba na musoma labda ukiangalia stendi Tu.View attachment 1799017
Musoma inavutia sana lakini hainaga promo
NgeseSina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa.
Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao.
Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa Sugu hali ikoje.
Mungu ni mwema wakati wote!