makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Ni ujinga ujinga tu, masharti kama waganga wa kienyeji π€£ππππ nishararua pisi zenye aibu kama 6 hivi, sio wagumu ila wanamasharti ya hovyo
Nshapaka mkongo, lishangazi kama hajashiba vzr leo kazi anayo π
90% ya maisha yangu ya ujana, wanangu wote ni walikuwa walevi, tutaenda club, tutaenda bar.. ila mie sinywi, na nikikosekana nitapigiwa simu nifike, lakini mie sijawahi kunywa pombe mpaka leo hiiSadly mimi ndiye nilikuwa/huwa naonekana wa ajabu kwenye kundi la naokuwa nao karibu
% kubwa ya circle ya 'marafiki' zangu ni ile ya kulala na mwanaume siku ile ile waliyokutana kama wakiweza
π§π§π§π§MIMI SIJARIBIWI.
Au Sio πNikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
π π π π staili za π½Mkizoeana mwaweza kudinyana kwa style ANUWAI
Naomba uumpe namba yangu, Huyu anastahili kupata innocent boy ambaye n mm πnina rafiki yangu mmoja yuko hivihivi mpaka anamaliza chuo anaogopa wanaume balaa..
Jitoe kwenye hilo kundi kwanza, hata sifa moja hapo juu huna mwanetu. We ni mswahili.Nikiwa miongoni mwa wenye aibu...ile aibu kupindukia
Naanza na baadhi ya sifa zetu
1. Sio rahisi kupenda lakini tukipenda tunapenda kweli kweli
2. Ni overthinkers
3. Tuko very sensitive kiasi kwamba tunanotice mabadiliko ya mwenza wetu mapema sana
4. Hatuna tabia ya kuchanganya wanaume
5. Mwanaume wangu ndiye rafiki yangu wa kwanza
6. Hatuna marafiki zaidi ya wawili,sometimes hatuna kabisa hao marafiki
7. Heartbreaks/break ups zinachukua muda mrefu kuheal
NAKAZIAMkague kwanza kama mtura hawajaupapasa, maana sikuizi mitura inapapaswa sana.
Hilo ni tabasamu la mamba mkuu, mi nilimpata kama huyo nikaoa saizi najuta najuta kweli kweli kumbe ilikuwa style ya kuniingize kwenye 18Nimepata manzi mmoja wa kichaga ila hili suala lake la kuona aibu linanipa kutafakari ananiigizia au ni kweli yupo hivyo niambieni sifa za wanawake wa hivi niweke ndani au ndio nitakuwa nimepigwa?
Ikawaje, Tupe uzoefu πHilo ni tabasamu la mamba mkuu, mi nilimpata kama huyo nikaoa saizi najuta najuta kweli kweli kumbe ilikuwa style ya kuniingize kwenye 18
Yani huyo ndo mzuri sasa hawa wa kukuangalia machoni mkavu hanogi sana, sema aibu nyingi ndivyo unakuwa pabaya kutumiwa na wanaume, maana aibu inapatana na uoga kiasi,M
MIe wangu pamoja na kuzaa aibu hazijaisha, , kwenye kutoa nyonyo na kunyonyesha eazy, ila kwenye kuweka mguu bara mguu pwani, hawezi mpaka leo pamoja na kumjengea confidence, vijineno kama ww nini, mbona mali safi kabisa hii inatazamika,
Lakini wapi, imebidi nimzoee tu kwa kuwa hiyo ndio inamfanya huru zaidi, aibu iko damuni.
Uzuri ikichomoka anairudishia japo sura anaiweka pembeni au kafunga uso na kiganja π€£ππ
90% ya maisha yangu ya ujana, wanangu wote ni walikuwa walevi, tutaenda club, tutaenda bar.. ila mie sinywi, na nikikosekana nitapigiwa simu nifike, lakini mie sijawahi kunywa pombe mpaka leo hii
Ndio baba labla πAu Sio π
Anaogopa kuzalishwa tena akaachwaKuna mmoja huyo wa aina yenu ila ni singo maza ana aibu mpaka kutembea hawezi kuangalia mbele, namuwinda ila ananikwepa Sana hadi nishakata tamaa
Sijui hata kwanini ananikataa kiasi hivho
Nope!!ni capricon au ?.
Jivunia sana hiyo hali aisee! Ni adimu kwa wengi.
Kwa level niliyopo.. eyes contact ni muhimu kiasi fulani..Yani huyo ndo mzuri sasa hawa wa kukuangalia machoni mkavu hanogi sana, sema aibu nyingi ndivyo unakuwa pabaya kutumiwa na wanaume, maana aibu inapatana na uoga kiasi,
Ushawahi kula mtu huku kajiziba na mto, yani kakupa kiuno uhangaike nacho ila yeye kafunika usi na mto sababu ya aibu!!!