Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Naomba ufafanuzi wa gari aina ya Volkswagen Polo

Jomba wewe leo hapa JF si ulikua unatafuta vits,gx100 au mark 2 grande?
kutafuta gari na kumiliki gari ni vitu tofauti unaweza ukawa unamiliki gari na ukatafuta jingine au ukatafuta kwa kuwa
huna so umeelewa mkuu nakujuza tu
 
kutafuta gari na kumiliki gari ni vitu tofauti unaweza ukawa unamiliki gari na ukatafuta jingine au ukatafuta kwa kuwa
huna so umeelewa mkuu nakujuza tu
Sasa kama unasema Polo inatembea kuliko Mark x/Crown basi jua umesikia tu story huko mtaani mzee baba.
 
Tofauti ya European na Japanese cars ni kubwa sana, hata Toyota ya Europe ni imara sana kuliko inayotoka Japan. kwenye hii industry ya Magari European cars ni za moto kwenye performance na expensive kuliko Japan cars
 
Attachments

  • WhatsApp Video 2020-10-23 at 9.07.26 PM.mp4
    1.2 MB
Tofauti ya European cars na gari za Japan, kwenye hii industry ya Magari European cars ni za moto kwenye performance na expensive kuliko Japan cars
Kwa hii video yako inabidi uweke uchambuzi performance ya on road au off road. Expensive kununua au maintanance.

Hao hao European people wanachagua Japanese car sababu ya Reliability Kwa upande wa performance wanaweza kuwa sawa usitishwe na promo.Mzungu wanamfata sababu ya comfortability na heshima ya brand zao.
 
Tofauti ya European na Japanese cars ni kubwa sana, hata Toyota ya Europe ni imara sana kuliko inayotoka Japan. kwenye hii industry ya Magari European cars ni za moto kwenye performance na expensive kuliko Japan cars
Hata ndugu yako Jerry Spare aliyepost Instagram hajaweka technical reason za kwanini Europe kuwa imara kumzidi Japan.

Kishabiki utakimbilia European kisha Kwa mazingira yako baadae unalia peke yako.
 
Hata ndugu yako Jerry Spare aliyepost Instagram hajaweka technical reason za kwanini Europe kuwa imara kumzidi Japan.

Kishabiki utakimbilia European kisha Kwa mazingira yako baadae unalia peke yako.
Matumizi ya magari kwa Japan ni tofauti kubwa sana na Africa, UK, US au Australia.
 
Uki

Ukinipa polo(chuma ya mjerumani), njia nikawa naijua vizuri(mf njia ya dar - Moro - mpaka sirari au mpaka Rwanda). Mezani ukaweka pesa ya kwenda, hata Kama una V8 za magu nakuchapa Kama tunapishana na hautoniona milele mpaka finishing line.
Mark my words chief
Usijisifu unakimbia, msifu akukimbizaye
 
Tangu lini Mjerumani kaanza biashara za kichina aisee? Na stability ni kubwa hata kama hupo kwenye speed. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anatoka Mwanza kwenda Kahama na Golf GTI Tairi ya mbele imeburst hajui, mpaka alipoanza kusikia mlio usio wa kawaida
labda hujawahi endesha hata baiskeli
 
Huwa naziona IT zinasafirishwa kwenda Africa ya Kati, wenzetu wanapenda magari. Sisi Tz tumekomaa na Toyota, Nissani, Subaru, Mitsubish, Ford.
Kodi ndio shida. Gari bei ndogo kodi mara 2
 
mkuu naona wewe upo vizur kwenye uwanja wa magari!! Japo nje ya maada..Naitaji kujua Nissan Dualis kuanzia spare na unywaji wa mafuta.hilo tu mkuu!!
Mkuu hiyo gari kwa mtu aliyewahi kumiliki xtrail, si gari ya kumshinda..
Kwanza zina share engine moja MR20 na xtrail second generation...si engine tu, zinavalina vitu vingi sana na Xtrail first na second generation...
Hivyo suala la spare zipo ila bei inakuwa imechangamka kiasi.

Gharama za uendeshaji wa hii gari hazijaavhana sana na gari za saizi yake mfano Kill time...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini Mjerumani kaanza biashara za kichina aisee? Na stability ni kubwa hata kama hupo kwenye speed. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anatoka Mwanza kwenda Kahama na Golf GTI Tairi ya mbele imeburst hajui, mpaka alipoanza kusikia mlio usio wa kawaida
Hivi umewahi kupasukiwa na tairi ukiwa speed 50 tu uone kinachotokea..?
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Huyo dereva naye alikuwa Kondoo kiasi gani mpaka tairi lipasuke eti hasikii kisa gari lina stability kubwa..?

Gari kupasua tairi ni habari nyingine, wala usiombe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Amarock hamna kitu hapo...hiyo ni gari ya Show off tu....

bora Toyota Hilux, Nissan Hardboard/Navara au Ford Ranger...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimbia harama ukaichukue. Germany cars zote ni durable no matters unaitesa vipi barabarani, Hautojutiaa. Gari inatembea hyo balaa. Kina crown, mark x sjui nanii...watakua wanaona vumbi tuu.
Ila Mjapan mnamuonea..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au vile sheria za nchi yake top speed ni180 basi ndiyo mnamchukulia poa..[emoji1787][emoji1787]

Hivi mnaijua vizuri gari inaitwa Nissan fuga lenye VQ 35 au Toyota Crown lenye 2GR.

Hapo sijagusa Nissan GTR..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom