yuda75
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 520
- 1,385
mi
ndo nalotumia mkuu mtuu chakeUlikaririshwa na nani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo nalotumia mkuu mtuu chakeUlikaririshwa na nani mkuu?
Jomba wewe leo hapa JF si ulikua unatafuta vits,gx100 au mark 2 grande?mi
ndo nalotumia mkuu mtuu chake
kutafuta gari na kumiliki gari ni vitu tofauti unaweza ukawa unamiliki gari na ukatafuta jingine au ukatafuta kwa kuwaJomba wewe leo hapa JF si ulikua unatafuta vits,gx100 au mark 2 grande?
Sasa kama unasema Polo inatembea kuliko Mark x/Crown basi jua umesikia tu story huko mtaani mzee baba.kutafuta gari na kumiliki gari ni vitu tofauti unaweza ukawa unamiliki gari na ukatafuta jingine au ukatafuta kwa kuwa
huna so umeelewa mkuu nakujuza tu
aya umeshinda mkuuSasa kama unasema Polo inatembea kuliko Mark x/Crown basi jua umesikia tu story huko mtaani mzee baba.
Kwa hii video yako inabidi uweke uchambuzi performance ya on road au off road. Expensive kununua au maintanance.Tofauti ya European cars na gari za Japan, kwenye hii industry ya Magari European cars ni za moto kwenye performance na expensive kuliko Japan cars
Hata ndugu yako Jerry Spare aliyepost Instagram hajaweka technical reason za kwanini Europe kuwa imara kumzidi Japan.Tofauti ya European na Japanese cars ni kubwa sana, hata Toyota ya Europe ni imara sana kuliko inayotoka Japan. kwenye hii industry ya Magari European cars ni za moto kwenye performance na expensive kuliko Japan cars
Matumizi ya magari kwa Japan ni tofauti kubwa sana na Africa, UK, US au Australia.Hata ndugu yako Jerry Spare aliyepost Instagram hajaweka technical reason za kwanini Europe kuwa imara kumzidi Japan.
Kishabiki utakimbilia European kisha Kwa mazingira yako baadae unalia peke yako.
Usijisifu unakimbia, msifu akukimbizayeUki
Ukinipa polo(chuma ya mjerumani), njia nikawa naijua vizuri(mf njia ya dar - Moro - mpaka sirari au mpaka Rwanda). Mezani ukaweka pesa ya kwenda, hata Kama una V8 za magu nakuchapa Kama tunapishana na hautoniona milele mpaka finishing line.
Mark my words chief
labda hujawahi endesha hata baiskeliTangu lini Mjerumani kaanza biashara za kichina aisee? Na stability ni kubwa hata kama hupo kwenye speed. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anatoka Mwanza kwenda Kahama na Golf GTI Tairi ya mbele imeburst hajui, mpaka alipoanza kusikia mlio usio wa kawaida
Kodi ndio shida. Gari bei ndogo kodi mara 2Huwa naziona IT zinasafirishwa kwenda Africa ya Kati, wenzetu wanapenda magari. Sisi Tz tumekomaa na Toyota, Nissani, Subaru, Mitsubish, Ford.
Siwezi kumsifu maana nitampita Kama tunapishana.Usijisifu unakimbia, msifu akukimbizaye
Umewahi kumwaga oil na kubadilisha oil filter kwenye hiyo gari mkuu...?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kumwaga oil tu na filter laki mbili wakati toyota ata sabini haifiki
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
Mkuu hiyo gari kwa mtu aliyewahi kumiliki xtrail, si gari ya kumshinda..mkuu naona wewe upo vizur kwenye uwanja wa magari!! Japo nje ya maada..Naitaji kujua Nissan Dualis kuanzia spare na unywaji wa mafuta.hilo tu mkuu!!
Hivi umewahi kupasukiwa na tairi ukiwa speed 50 tu uone kinachotokea..?Tangu lini Mjerumani kaanza biashara za kichina aisee? Na stability ni kubwa hata kama hupo kwenye speed. Nakumbuka kuna jamaa alikuwa anatoka Mwanza kwenda Kahama na Golf GTI Tairi ya mbele imeburst hajui, mpaka alipoanza kusikia mlio usio wa kawaida
Hiyo Amarock hamna kitu hapo...hiyo ni gari ya Show off tu....Ni pesa tu, najua hata magari mengine ya VW ni bora pia kama Amarok , Tourage, Passat, Jetta, Tiguan, Atlas, Teramont, Scirocco, BettleView attachment 1602376
View attachment 1602377
View attachment 1602378
View attachment 1602379
View attachment 1602382
View attachment 1602384
View attachment 1602385
View attachment 1602387
View attachment 1602392
Sijawahi endesha amarok tu hapo, kwenye ubora hapo 1. Nissan 2. Ford 3. HiluxHiyo Amarock hamna kitu hapo...hiyo ni gari ya Show off tu....
bora Toyota Hilux, Nissan Hardboard/Navara au Ford Ranger...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Mjapan mnamuonea..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kimbia harama ukaichukue. Germany cars zote ni durable no matters unaitesa vipi barabarani, Hautojutiaa. Gari inatembea hyo balaa. Kina crown, mark x sjui nanii...watakua wanaona vumbi tuu.