Yeah.Nilikuja nikajifanyia tathimini nikaona mpira ni nonsense nika declare sitozungumzia mpira kwa 10
Acha wakome mbwa haoArsenal mnaringa sn kikombe hamkiuoni ngoh lbd ayatolah afufuke
Anaangalia kombolela na mke wake sa h, ameamua kuhamishia mapenzi yote kwa mke wake leo 😂
Kwa wasio jua huyu ndo yule mwamba wa yuda ulioandikwa
Intelligent businessman akiona hii lazima kisukari kipande 😂
It's a source of happinessYeah.
Nilifikiria labda mpira unaweza kuwa na sense kama ajira. Kwa wanaocheza.Nikaona hata hiyo ni kitu cha kupangwa na watu hakina umuhimu hivyo. Tena wacheza mpira wanaliowa sana kwa kazi isiyo na maana halafu watu wanaofanya kazi za maana sana za kugundua madawa na kuokoa maisha ya watu hawalipwi vizuri hivyo.
Nikasema labda una umuhimu kwenye mazoezi, nikaona kuna namna za kufanya mazoezi zilizo objectively more efficient.
Nikasema labda unajenga community. Kuna siku mimi mwenyewe nilikuwa Philadelphia nimevaa kofia ya New York Yankees (Marekani kuvaa hivyo lazima uwe mshabiki wa Yankees sio huko kwingine unavaa tu kofia zile za NY, mimi nilivaa kwa sababu ya kukaa New York tu).
Kuna jamaa nilikutana naye kwenye mall alinifurahia sana kwa sababu Philadelphia hakuna washabiki wa New York wengi. Ikawa kama kakutana na ndugu yake bila kutegemea, wakati hata hatujuani. Nikaona labda hapa ndipo umuhinu wa hii michezo ulipo.
Nikaja kugundua unaweza kujenga community hivyo efficiently zaidi bila kuhitaji michezo.
Nikaja kugundua michezo hii ni mabaki ya tamaduni fulani zilizotusaidia ku bond na ku evolve katika groups huko nyuma lakini sasa hivi haina umuhimu huo, inajaza nafasi ya kupoteza muda kwa bored people tu, ila vichwa vyetu havija evolve kuwa sawa na muda huu.
Umeongea vyema kabisa,Yeah.

Kwani wapi nimesema kila kitu ninachofanya kina faida?Kwan ww kila kitu unachofanya kwenye maisha yako n faida tuu, I mean Hakuna kitu unafanya kwa ajili ya kujiburudisha?
Sasa kama distraction unaangalia ili iweje?Yani huelewi kuwa mimi naweza kuwa napenda kutazama mpira kwa kuburudika halafu hapo hapo nikasema mpira ni distraction tu?
Kama vile ambavyo kuna tabia fulani za ujinga wa utotoni watu fulani wanashindwa kuziacha hata wanapokua watu wazima, pia kuna tabia za utoto wa human race collectively kuna watu wameshindwa kuziacha mpaka leo.Umeongea vyema kabisa,
mpira ni wastage of time, stress, depression kuna watu mpaka wanafikia stage ya kujiua kisa timu zao zimefungwa,
kamari...nk
Wewe hujui abstact thinking.Sasa kama distraction unaangalia ili iweje?
Sijaongelea happiness wala sijakukataza kuburudika.It's a source of happiness
Wacha tuburudike sie
Kwanza na appreciate kwa kuniona mjanja, ila kuhusu arsenal ubingwa bado upo.
Kawamalize baba🤣🤣🤣Kwanza na appreciate kwa kuniona mjanja, ila kuhusu arsenal ubingwa bado upo.
Anyway naelekea karimjee kuvunja nazi, ili tubebe epl
Nope, I pass that.Mpira ni pointless distraction.
Pointless performative distraction.
Fight me on this one.
Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.
Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi.
Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye ni-mention au kuni-quote mada ya mpira.
Usi shangae mimi kuomba ulinzi, hawa madogo wa Manzese, Mabibo sokoni, Tandale hawana adabu aisee.
Mi mtu mzima nina familia, halafu kesho j3 japo nalala mpaka saa 6 mchana ila sipendi stress gadamit.
View attachment 3575557
Nawe ni mwana arsenal?, au ndio una ongeza chumvi kwenye sharubati yangu mkuu?Mwokozi nitoe roho niepuke hili balaa...
Arsenal inavyochezea kichapo hadi nalala na njaa...
Kwanza na appreciate kwa kuniona mjanja, ila kuhusu arsenal ubingwa bado upo.
Anyway naelekea karimjee kuvunja nazi, ili tubebe epl