Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
-
- #61
Wana zingua hawa majamaa π
Leo pamoja na kuvaa hirizi nyeusi lakin bado mkakazwa πAnyway naelekea karimjee kuvunja nazi, ili tubebe epl
Oya acha uwaki mwanangu, mpira si ushaishaLeo pamoja na kuvaa hirizi nyeusi lakin bado mkakazwa π
Tulia mkazwe π
Bado Marehemu hajazikwaOya acha uwaki mwanangu, mpira si ushaisha
Kafie bunyokwa boya weeBado Marehemu hajazikwa
Umebanduliwa bwasheeKafie bunyokwa boya wee
Kakae ignore list ππUmebanduliwa bwashee
Na next game city tunashinda na tunakaa pale juuuuuuuuiuiuuuu
Umebanduliwa bhana πKakae ignore list ππ
Nawe ni mwana arsenal?, au ndio una ongeza chumvi kwenye sharubati yangu mkuu?
Dah πMpita njia tu...
Dogo arsenal ina chukua u bingwa wa epl, amini kwambaintelligent businessmanView attachment 3576571
Mkuu me mwenyewe ni Arsenal kindaki kindaki sema nmeshajikatia tamaaDogo arsenal ina chukua u bingwa wa epl, amini kwamba
Inauma sana mkuuWenzako toka 2003/04 hadi leo tupo, on and off. Hakuna kurudi nyuma, though inauma sana.
Labla ubingwa wa epele sio eplDogo arsenal ina chukua u bingwa wa epl, amini kwamba
Nilisema tukutoe kafara ili tuchukue ubingwa, ukabisha ona sasaInauma sana mkuu
Au tukutoe ww mkuu πNilisema tukutoe kafara ili tuchukue ubingwa, ukabisha ona sasa