Quadruple ❌Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani.
Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana, sasa timu initese na hawa madogo wa JF wanizingue ah wapi.
Hakikisheni mna piga ban, yeyote atakaye ni-mention au kuni-quote mada ya mpira.
Usi shangae mimi kuomba ulinzi, hawa madogo wa Manzese, Mabibo sokoni, Tandale hawana adabu aisee.
Mi mtu mzima nina familia, halafu kesho j3 japo nalala mpaka saa 6 mchana ila sipendi stress gadamit.
Bro sio poa, hii timu najiuliza ina shida gani au ndio ilisha laaniwa hovyo kabisa.
Kumbe ndo umekuja kulia huku vichochoroni unaogopa kulia kule hadharani 😂😂 .Bro sio poa, hii timu najiuliza ina shida gani au ndio ilisha laaniwa hovyo kabisa.
Joao Pedro ana mafanikio makubwa ndani ya mwezi mmoja wa kwanza ndani ya Chelsea kuliko wachezaji wote wa Arsenyembo tangu kuanzishwa kwake tangu stone age huko 😂Mbaga Jr mwaka jana kachukua club world cup , ndani ya miaka 10 kachukua EPL za kutosha , UEFA , Europa, conference makombe kibao.
Wewe ndani ya miaka 20 umechukua Nini??
Ukichukua Chelsea ndani ya miaka5 na ukachukua Arsenal ndani ya miaka 20 still Chelsea ana makombe mengi kuzidi Arsenal.
Itafika disable 😂Quadruple ❌
Treble ❌
Double ❌
Trouble ❌
Unable ✔️
Chelkenge hatuna la kupoteza 😂
We mgonjwa kweliNilisema tukutoe kafara ili tuchukue ubingwa, ukabisha ona sasa
Sasa hivi ingekuwa rip haji manaraWe mgonjwa kweli
Timu yetu n ya hovyo kuwahi kutokeaSasa hivi ingekuwa rip haji manara
Kama ulivyo wewe au sioTimu yetu n ya hovyo kuwahi kutokea
Kama ulivyo wewe au sioTimu yetu n ya hovyo kuwahi kutokea
MImi ni mtu na nusuKama ulivyo wewe au sio
Nusu albino na nusuMImi ni mtu na nusu
Ona hili chawiNusu albino na nusu