ndisi-jujo
Member
- May 7, 2017
- 40
- 37
Nafuga broilersUnafuga kuku gani?! Hybrid, Broilers ama Layers?
Sitoi kiki boss. Bundle ni langu kwanini unipangie cha kupost?!some one who is proud of what has done na hana courage za kujionesha YY ni nan ? nashindwa kukuelewa arent u a story teller
Boss mimi binafsi niliacha kutumia vyakula vya kununua miaka mi3 iliyopita. Hao jamaa wanapiga profits kubwa sana, huku wewe wanakuacha na faida ndogo au ukatoka kapa kabisa endapo vifo vikiwa vingi.Nafuga broilers
bei za vyakula huku Moro ni alfu 70kwenda juu
(Silver land,fugo,hill)
Pia Pumba ya mahind kwa gunia LA plastick kumi ni sh 35,000_40,000/
Bei ya Kuku iliopo sokoni ni 6000 /
Mkuu swali langu pia umelipita,niongeze la pili.inakugharimu kiasi gani kuhudumia heka moja ya mpunga?na vipi faida kwa ekari moja ni kiasi gani?Samahani boss nililipita swali lako.
Mahindi natumia mbegu ya East African Hybrid seed, hii inatoka Kenya.
Mpunga nilinunua mbegu kutoka NAFCO.
Nafahamu JF kuna watu wanaonifahamu either kwa kuniona/kunisoma kwa media ama kumeet in person, naomba ufiche identity yangu kama mimi nilivyoamua kuificha. Ni suala la kuheshimiana tu. The goal is to be successful not to be famous.
Karibuni sana. Nitajitahidi kujibu maswali yote kadri niwezavyo.
Salute!!
Muhimu
Sitoi mawasiliano, na wala sitojibu P.M
Boss nikumhushe swali lako.Mkuu swali langu pia umelipita,niongeze la pili.inakugharimu kiasi gani kuhudumia heka moja ya mpunga?na vipi faida kwa ekari moja ni kiasi gani?
Unachukua Muda gani kulima hadi kuvuna vipi hizo gharama jumla na gharama ya kukodi shambaBoss nikumhushe swali lako.
Sijawahi kulima mpunga wa msimu wa mvua, mara zote nimekua nikimwagilia maji. Gharama hua natumia 700k - 800k kwa hekari 1 mpk kuvuna.
Hekari hua napata average ya gunia 13 za kilo 100 za mpunga. Na kila kilo 1 hua nauza 1300 - 1400, so hekari 1 hua napata faida isiyopungua Milioni 1.
Sawa nimekupataBoss mimi binafsi niliacha kutumia vyakula vya kununua miaka mi3 iliyopita. Hao jamaa wanapiga profits kubwa sana, huku wewe wanakuacha na faida ndogo au ukatoka kapa kabisa endapo vifo vikiwa vingi.
Mfano mimi gharama ya chakula changu ni 47,000.
Mpunga kwa mbegu ninayotumia ni miezi mi4. Lkn mwaka huu bei ya mpunga nimeuza juu sana sana, hiyo 1400 ni kipindi ambacho mchele upo mwingi mtaani.Unachukua Muda gani kulima hadi kuvuna vipi hizo gharama jumla na gharama ya kukodi shamba
Hakuna mtu duniani atakupa feed formula hata ufanyaje boss, hapa nisikufiche. Sawa na Cocacola kutoa formula ya vinywaji vyake.Mpunga kwa mbegu ninayotumia ni miezi mi4. Lkn mwaka huu bei ya mpunga nimeuza juu sana sana, hiyo 1400 ni kipindi ambacho mchele upo mwingi mtaani.
Shukrani, jibu zuri,I will go for maize,niliulize upya swali langu,kwa ajira isiyo na tija ni vema mtu kuachana nayo akalime let us say heka kumi kwa kanuni za kilimo atatusua?Boss nikumhushe swali lako.
Sijawahi kulima mpunga wa msimu wa mvua, mara zote nimekua nikimwagilia maji. Gharama hua natumia 700k - 800k kwa hekari 1 mpk kuvuna.
Hekari hua napata average ya gunia 13 za kilo 100 za mpunga. Na kila kilo 1 hua nauza 1300 - 1400, so hekari 1 hua napata faida isiyopungua Milioni 1.
Swali LA gharama hujajibu mkuuMpunga kwa mbegu ninayotumia ni miezi mi4. Lkn mwaka huu bei ya mpunga nimeuza juu sana sana, hiyo 1400 ni kipindi ambacho mchele upo mwingi mtaani.
Unachukua Muda gani kulima hadi kuvuna vipi hizo gharama jumla na gharama ya kukodi shamba
Mpunga kwa mbegu ninayotumia ni miezi mi4. Lkn mwaka huu bei ya mpunga nimeuza juu sana sana, hiyo 1400 ni kipindi ambacho mchele upo mwingi mtaani.
Swali LA gharama hujajibu mkuu