Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

Mkuu ruvu unalima maeneo gani boss, nifanyie connection ya shamba broo
Mkuu nami ni beginner mwenzio,ila kuna hizo heka 26 zinauzwa,the best thing I can do ni kukupa namba ya muuzaji na bei ameanza nayo,nadhani ukitaka pungufu atakupa
 
Bei halisi ni laki moja hadi moja na nusu kwa heka."Huyu bwana" mwenye ekari 26 anataka laki mbili na nusu kwa ekari,labda ukinegotiate naye mtaelewana
Aisee nashukuru sna mkuu,,km utaweza kunipm nitafurah nipate namba yake,,na ni pori au shamba as shamba?
 
Mkuu nami ni beginner mwenzio,ila kuna hizo heka 26 zinauzwa,the best thing I can do ni kukupa namba ya muuzaji na bei ameanza nayo,nadhani ukitaka pungufu atakupa
Nilitaka kwanza nianze na kukodi mkuu, price yao inachezaje?
 
Mkuu hao kuku wako unawauza wakiwa wazima? Au unachinja na kuwapack ndio unaenda kuuza? Na kwa uzoefu wako ni kuku gani wanalipa zaidi? Broiler, kienyeji au wa mayai? Maana Mimi najipanga hapa nianze kufuga na Mimi
 
Daaaa mkuu hebu niunganishe na hao wadau wako maana Mimi tayari ninao hao kuku wana week ya tatu sasa. Na Nina fugia maeneo ya Kitunda mkuu, maana Mara ya kwanza sikupata faida, kwani niliuza kuku mmoja tzs 5000 wakati huo mfuko mmoja nilikua nanunua kwa tzs 70000, ila sikukutaka tamaa nimerudia tena sitaki tena kilichonikuta tena mwanzo kinikute, maana Mimi mwenyewe Niko Chuo mkuu nimetumia boom kufanya hii project
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…