Naomba ushauri: Hati ya kiwanja ni ya mke wangu pekee au naweza kubadilisha majina?

Kosa la kwanza
Kosa la pili(tukachanga tukananunua kiwanja) kosa la tatu huyo mwanamke anakumudu

Hiyo hela si ungemchangia tundu lisu akanywa Ata supu

👉Ushauri muachie kiwanja hicho nunua kingine jenga kimya kimya pangisha watu kula kodi kimaya kimya🥶acha upumbafu huyo ni mbinafsi mzee mwenzangu
 
Sawa asante
 
ingekuwa ni mimi ningebadili jina na kuandika la kwangu peke yangu. Yaani mwanamke aniambie tununue kiwanja kisha kwenye hati aweke jina lake wakati mimi ndo baba wa familia si dharau hizo? Kwani mpaka aweke jina lake anajiandaa na nini? Anataka akishajenga muachana? Kama hana mpango wa kuachana basi hapo kwenye hati likae jina lako au muuze icho kiwanja mnunue kingine muandikishe upya.
 
Haisadii hata ukiandika la kwako pekee wakija kukosana wanagawana pasuuuuu ama mme kukoswa
 
Yaani kwa masimulizi haya wewe ndo umeolewa na huyo mwanamke.Umeshafeli kitambo na bado tatizo hulioni😄😄😄


Bado hujasema!


#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
 
Sawa
 
Ulishawahi kubanwa na zipu kwenye kende!?
Huwa tunaondoa taratibu na kwa umakini mkubwa sana
Basi hili suala lako ni kama kuondoa zipu kwenye kende yani ni taratibu mno na kwa umakini mkubwa ili usiharibu
 
Hapo wenzako( mkeo na mamaake) wanakuchezea michezo ya kijasusi🤗

Kama unatumali twako twingine anza kukaa kitaalam.Hao washakuona zoba na ukikaa vibaya watakutanguliza🤝

#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
 
Mwachie tu mdada hakuna shida Mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…