Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

Nina Uhakika wewe ndio mwenye "likes" nyingi kwenye huu Uzi kuliko mwingine

Umeongea Ukweli Mchungu na mistari Mikali sana
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimeamini tumejengewa taifa lenye watu wa ajabu mno, Mungu atusaidie tu.
 
Acha kwanza andika barua ya kuacha kazi kazi afu tukushauri jinsi ya ku deal na mzee. Afu ni simple tu. Chukua mshahara wako wote wa mwezi mmoja mpe kama shukurani then mwambie nakushukuru sana kwa msaada wako na naomba radhi kwa usumbufu ila kiukweli nime terminate mkataba coz nahisi nitaharibu mahara na nitakudharirisha wewe ulienipeleka ko baba nisamehe mimi nimeacha kazi. But hayo yote yafanyike ukiwa umekwisha resigne tayari ili ushauri na nasaha zisiwe nyingi zikakufanya ukabadili mawazo
 
I guess huyu jamaa ni wale watoto kuanzia mwaka 95 mpaka 2000 , vitoto vingi kwenye age hii huwa hawajui wanataka nini kwenye maisha..wao ni Bora liende kukuche wakojoe wale walale.....ni vitoto Fulani hivi mlenda.mlenda sio vya kiume wala vya lkike..vitoto hivi havinaga ubunifu kwao ni kuharibu na kufanya bila kufikiria kama huyu anayekuja kuomba mwanzo ya kuacha kazi ambayo anajua dhahiri zuluma ilifanyika akaipata..yes kuna dhuluma ilifanyika watu walijitokeza wakiomba kihalali wakafanyia usahili ..haka katoto /kakijamaa kakapitishwa Kwa upendeleo baada ya kuona mshahara mdogo anataka kukimbia majukumu...

Aloo Mimi sikulembeshi...laaana utakayoipata hutajali ujue imetoka wapi ...Emu fikiria kama sio huyo Mzee kubaka usahili wa wale walioomba kazi akakupendelea wewe ..unajua hio nafasi SASA hivi ingekuwa ni ya mja mmoja aliyesali kabla hajatoka nyuumbani siku Ile mlipoenda kufanya interview...unajua Mungu alikusudia hiyo nafasi aipate huyo MTU ila wewe ukapewa kinyume nyume!?

We kajamaa sikia ....Acha kazi...ukalale nyuumbani shenzi .
 
Pole sana Kwa uliyoyapitia ndio maisha yenyewe

binafsi naimani kubwa na mind yangu
Kwa nin sasa ulimpgia simu mzee kumuomba kaz.kwan wkaat huo ulikua huna hizo mishe zako? Na hio kaz kwel ngumu credit officer na inakupasa kuwa daily field na ukute ka kampun hakana usafiri hata wa pikipiki wakupe uzungukie vikundi ndio balaa na jua hili. Je your not comfortable ni kwa ajili ya imani yako.? Au ile kudai na kutishia kunyang'anya vyombo huweez?
Ulisoma koz gani?
Au unataka za kukaa ofisin nin.full kuvaa vitambulisho na kutokea posta?
 
Huyu angepitia tuliopitia sisi.sis picha linaanza part time ya kwanza tulifanya ile kusajil majina wakat ulee miaka flan ndio sheria imeanza.data entry pale aitel moroko enzi hizo.unaingia shift ya usiku unatoka asubuh.
Unalipwa kwa majina.mzee tumepiga ile kaz unaingia usiku unatoka asubuh naul yako mwenyew kula utajua mwenyewe pc yako mwenyewe tukadhulumiw hela tukaenda kukinukisha kule kwenye ofisi ya hao jamaa waliopewa tenda mikochen.weka kambi pale mpaka ikabidi kuja kusaidiwa na polisi ndio tukalipwa.laki na ishirin.
Kutoka hapo nikaingia customer care voda piga training pale mikochen pokea simu kichwa kinauma kama chote.we dogo wewe unaleta mchezo
 

Sure mkuu ni jambo jepesi mtu kujaji ila kazi za kudai mikopo ni pasua kichwa pande zote una lawama Kwa raia na Kwa management. Just imagine unaenda kumfilisi mtu aliyepigwa stroke
 
Mkuu wewe kweli ni kiazi customer care unalinganisha na credit officer ambaye anaingia mtaani kutafuta wadaiwa sugu wenye kaliba tofauti.
 
Hakuna unachokijua mkuu. By the way nashukuru Kwa mchango wako
 
vehicle absconding kwa baadhi ya mizani ni dola 15,000, imagine we ndo Tanroad officer unatakiwa kuandika hii faini?? Huyu mwenye gari si atakutafuta kwa njia yoyote posible ? Halafu ukute na kazi yenyewe unakuja kufukuzwa kazi ,mnakutana mitaani
 
Kwa attitude yake tu keshafanikiwa , kwenye maisha huwa tunaangalia risk reward ratio, kama faida ni kubwa, mtu anaweza enda extra miles kibabe
Sasa kazi yenyewe mshahara milioni , ikufanye uliliwe na familia kadhaa kwa ajili ati unakusanya madeni !! Hell no!
 
Kwahyo anatomy na pharmacology zilikuwa zinapanda mkuu 🤗🤗
 
Mkuu nashukuru sana Kwa mchango wako. Mtaani ni pagumu everyone know that hata Mimi najua ila kikubwa ni kuwa nimejifanyia tathmini I don't fit na nipo more motivated kufanya harakati zangu
Kwanini uliomba connection ya kuajiriwa wakati ww upo more motivated kujiajiri mwenywe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…