Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

Waswahili tuache unafiki na rohombaya hii website ni mzuri inashare mzuri nimeshare kwa ndugu na jamaa ila Jonson sio kwamba na kuchafulia ungekua mzungu hivi watu wangekuwa wanakesha kwenye website yako arafu mtu anakuambia Ramani usimpe mtu Ramani kakuungisha nini nendeni ubarozi pale upanga kaombe visa na rohomba zenu.
 
Labda fanya marekebisho kwenye registration form kwasababu nimeandika user name Jasusi mweusi ikaniambia maneno mengi sana nika force nika submit tena ikakubali kama inataka kuwapingia users majina gani watume.
Asante nitapaboresha
 
Umesaga kunguni sio?
 
Ukweli ni mchungu I see.
 
Hili Lina ukweli kabisa, hizo changamoto hata mimi nilizipitia sana kwenye biashara yangu ya kwanza. Sasa nikaja na biashara ya kuuza vitu vinavyohusiana na swimming lakini lugha hapo ni English tu, yaani chat zote za DM ni English basi bwana trust kama yote kwa wageni mpaka wenyeji. Yaani Sisi wa Tanzania kutuwin hutakiwi kuwa serious sana. Kikubwa waambie ukweli wateja wako kuwa mzigo utachelewa.
 
Sikuwepo nasipendi kukumbuka kilichotokea na siwezi kufunga mzigo na kutuma hapo bila kuona pesa kwenye account.
Sasa hiyo trust ya mtu kukutumia pesa nyingi na mtu haupo Tanzania halafu ndo unaanza yaani kaka si kitu rahisi, imagine unauza goggles kwa sh. 25,000 mtu anagoma kabisa kutuma advance just half of the price, ndo ikaje million haki trust kwenye business ni changamoto.
 
haha mimi si nawajua wabongoland
 
Kwani watu wananunuaje Magari na vitu vingine huko Amazon na Ebay, kwani wanatumiwa kwanza ndio wanalipa hii inawezekana vizuri sana, tatizo ni kupata watu serious na namatangazo pia mtu akisumbua anarudishiwa pesa yake.
 
Kwani watu wananunuaje Magari na vitu vingine huko Amazon na Ebay, kwani wanatumiwa kwanza ndio wanalipa hii inawezekana vizuri sana, tatizo ni kupata watu serious na namatangazo pia mtu akisumbua anarudishiwa pesa yake.
Ndio mbona sbt na be foward watu wanalipa before
 
Ndio mbona sbt na be foward watu wanalipa before
Tatizo liliko hapo ni moja wabango wengi wanawaza kutapeliwa kwasababu wanazozijua wao

Huu nfumo ni mzuri sana uki work out kuna mizigo mingi ya bei rahisi hapa sana kwa wafanya biashara wa kati nfano mtu anasafiri kwenda Dubai kununu mzigo wa 20ml sio kweli gharama ni nyingi sana lakini mtu anataka ende mwenyewe lakini nikitapa order volume ya mizigo ikiongezeka place upungua
 
Kujiajiri kwa sera ya nchi yetu lazima utunishe misuli kibabe,, ni bora hata kuajiriwa huku ukichengesha humohumo,, au kama biashara unawauzia wafanyakaz wenzako,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…