Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

Mzee ninavioo pale ofisini achaa nina super za kila aina tena zinanukia blaaa ila ujinga wake zeneywe utokaji wake ni mudg kwa sabab mbagala wengii ni kipato cha chini kwaiyo wanahitaji michele ya bei ndg na ndo yenye mznguko mkubwa
Ujinga wa kuendekeza wateja huwezi kutoboa kwenye biashara.

Dar-es-salaam watu wana pesa mzee...weka bei za kila aina...kama mimi mchele wa bei rahisi sinunui najua tu sio mzuri. Kitaani tunauziwa mchele sh 2500 kwa kilo na wala sio super kihivyo
 
Ujinga wa kuendekeza wateja huwezi kutoboa kwenye biashara.

Dar-es-salaam watu wana pesa mzee...weka bei za kila aina...kama mimi mchele wa bei rahisi sinunui najua tu sio mzuri. Kitaani tunauziwa mchele sh 2500 kwa kilo na wala sio super kihivyo
Dondosha location kaka unaish wapi
 
Hongera na usikate tamaa, Ila tambua hakuna kitu rahisi hasa kwenye biashara, pia jifunze flexibility kwenye biashara, jifunze Muda sahihi wa kuendelea na kubadilisha biashara, Ila zungatia Zaid location ya eneo kama ipo sahihi, bila kusahau competitors wako wanafanya nn, jifunze Mambo chanya toka kwako, ila wasikushauri uingie kwenye Mambo ya ulonzi....
Maana utasikia wewe hauuzi sababu ni .... Wameloga biashara yako! .. ... Twende Kwa mtaalamu au Fulani ana mganga wake ndo mana anauza .. . Epuka hayo, keep faith, kuwa na lugha nzuri hata Kwa anaye nunua kilo moja, neno "asante" Kwa mteja ni muhimu sn
 
Sahihi sana nimekuelewa kaka
 
Hama hapo mkuu,
Nenda kauze huo mchele mbezi mwisho. Utakuja kuniambia
Uko sahihi kabisa, mbezi mwisho mchele unatembea sana. Na wateja wengi pale ni wa madaraja yote. Unaweza kuwa unspoken order za wateja wa madukani huko Msumi, Malamba, Mpiji magoe, Msakuzi, n.k. inasaidia mzigo kutoka haraka. Niliwahi kuifanya hii wakati flani hv na ilinisogeza sana kibiashara.
 
Ooh ngoja nikafanye research
 
Mbezi mwisho ile ya magufulii kule
 
Mim mwenyew nimuuzaji wa mchele nipo mbeya nina group whatsapp unaweza nitumia no ni kuadd unaweza pata machimbo ya bei rahisi
 
Biashara ya mchele Mwaka huu imekua ngumuu balaa, usidhani ni wewe peke yako..🤔 pia Michele ni mingi mno.! Ila usibadilishe biashara endelea tuu labda ubadili location.
 
Daah pole sana aisee, mimi mwenyewe nafanya hizo harakati.

Kosa kubwa ambalo umelifanya ni kuweka mzigo store kisha kusubiri wateja waje em vuta picha unaenda kupigika porini kisha uje dar halafu uweke mzigo kisha usubiri wateja waje ndo uuze aah kaka HAPANA.

sehemu shindani kama hizo mbagala mbali nayoote pia zina mambo mengi sana, mswahili hawezi kuacha asili yake, na pia wao washa-jibrand.

Ni pm kama vipi tujenge urafiki wa faida tutaweza kushauriana zaidi.
 
Ni upepo utapita tu mkuu.
 
unashangaa mchele kilo 1400 huamini au.. mbona ndio bei ya kuanzia sehemu nyingi tu dar huku gongo la mboto bei inaanzia 1500 kilo mchele umeshuka bei sana mkuu
Mchele mzuri au grade ya mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…