Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Usimlaumu Sana biashara ikiwa inaenda kombo akili huwa inapokea kila ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga wa kuendekeza wateja huwezi kutoboa kwenye biashara.Mzee ninavioo pale ofisini achaa nina super za kila aina tena zinanukia blaaa ila ujinga wake zeneywe utokaji wake ni mudg kwa sabab mbagala wengii ni kipato cha chini kwaiyo wanahitaji michele ya bei ndg na ndo yenye mznguko mkubwa
Dondosha location kaka unaish wapiUjinga wa kuendekeza wateja huwezi kutoboa kwenye biashara.
Dar-es-salaam watu wana pesa mzee...weka bei za kila aina...kama mimi mchele wa bei rahisi sinunui najua tu sio mzuri. Kitaani tunauziwa mchele sh 2500 kwa kilo na wala sio super kihivyo
Sahihi sana nimekuelewa kakaHongera na usikate tamaa, Ila tambua hakuna kitu rahisi hasa kwenye biashara, pia jifunze flexibility kwenye biashara, jifunze Muda sahihi wa kuendelea na kubadilisha biashara, Ila zungatia Zaid location ya eneo kama ipo sahihi, bila kusahau competitors wako wanafanya nn, jifunze Mambo chanya toka kwako, ila wasikushauri uingie kwenye Mambo ya ulonzi....
Maana utasikia wewe hauuzi sababu ni .... Wameloga biashara yako! .. ... Twende Kwa mtaalamu au Fulani ana mganga wake ndo mana anauza .. . Epuka hayo, keep faith, kuwa na lugha nzuri hata Kwa anaye nunua kilo moja, neno "asante" Kwa mteja ni muhimu sn
Uko sahihi kabisa, mbezi mwisho mchele unatembea sana. Na wateja wengi pale ni wa madaraja yote. Unaweza kuwa unspoken order za wateja wa madukani huko Msumi, Malamba, Mpiji magoe, Msakuzi, n.k. inasaidia mzigo kutoka haraka. Niliwahi kuifanya hii wakati flani hv na ilinisogeza sana kibiashara.Hama hapo mkuu,
Nenda kauze huo mchele mbezi mwisho. Utakuja kuniambia
Ooh ngoja nikafanye researchUko sahihi kabisa, mbezi mwisho mchele unatembea sana. Na wateja wengi pale ni wa madaraja yote. Unaweza kuwa unspoken order za wateja wa madukani huko Msumi, Malamba, Mpiji magoe, Msakuzi, n.k. inasaidia mzigo kutoka haraka. Niliwahi kuifanya hii wakati flani hv na ilinisogeza sana kibiashara.
Mbezi mwisho ile ya magufulii kuleUko sahihi kabisa, mbezi mwisho mchele unatembea sana. Na wateja wengi pale ni wa madaraja yote. Unaweza kuwa unspoken order za wateja wa madukani huko Msumi, Malamba, Mpiji magoe, Msakuzi, n.k. inasaidia mzigo kutoka haraka. Niliwahi kuifanya hii wakati flani hv na ilinisogeza sana kibiashara.
Yep, ni mbezi hii ya magufuli.Mbezi mwisho ile ya magufulii kule
Daah pole sana aisee, mimi mwenyewe nafanya hizo harakati.Habarii wana JF natumai wote mko salama.
Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam
Nauza jumla na rejareja.
Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana ndo mara yang ya kwanza hii biashara.
Lakini changamoto amabyo imenipelekea kuandika huu uzii ni hapa ambayo nimetumia njia zote nimeshindwa biashara naiendesha kwa hasara sipatii faida hata kidg na basi ikipatikana inakuwa ni ndgo sana..
Hiyo changamoto ni kwamba kila nikileta mchele kweny store yang wateja wanarukaruka kwamb mchele wanaona siyo mzurii najitahidii kugradee jambo amablo linapelekea faida yang yote kuishia huko ilimradii tu niwateke wateja kwa vitu vizurii lakini wapi nimejikuta napoteza mtaji wang nusu nzima mpka sasa.
Na kingine mimi nipo mbagala dar es salaam nzima wanasifia mbagala kuuza mchele bei rahisii ni kwelii huku bei ni rahissiii jana nimetoka nimeenda sehem nyingine nimekuta mchele naouza mimi huku 1400 wao wanauza 1600
Sasa niko nawaza nifunge hapa flemu nikatafute sehem nyingine niendelezee baishara hiii hii ya mchele au nitafutee tu biashra nyingine nifanye naomba mnisadie sana.
Ushaurii wenu unahitajika hii biashara hemu imagine miezii saba sasa haijawah kunipa faida hata kidg nimevumilia nimechoka nahisii napoteza tu kila siku.
Maduka ya mchele sasa yamejaa kila kona kila mtu anauza mchele, na wakulima hawajkaa mbalii kila mkoa unalima mchelee.
Miaka yotee huu mwezii wa tisaa michele inapanda bei ila mwaka huu mpka mchele wa 1300 ninao mimi ofisini afu baishara haiendii kabisa yaniii
Nitafute eneo linginee au nibadilishe baishara msaada wenuu wakuu
Ni upepo utapita tu mkuu.Habarii wana JF natumai wote mko salama.

Mchele mzuri au grade ya mwishounashangaa mchele kilo 1400 huamini au.. mbona ndio bei ya kuanzia sehemu nyingi tu dar huku gongo la mboto bei inaanzia 1500 kilo mchele umeshuka bei sana mkuu