Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

Kwa hapo mkuu unaweza tu kumsomesha , but usiwe na huge expectations kwake, la sivyo utaumiaa...
 

Honey pot trap!

-Kaveli-
 
Mbona umenivunja moyo hivyo napokea ushauli ndo maana nimelileta hapa kwa ndugu zangu najua ntapata majibu sahihi bado nipo njia panda kwa hili aise
 
Ushauri wa kiutu uzima, muoe kisha msomeshe akiwa mkeo kabisa na pia umdunge na mimba ya kwenda nayo chuo ili hata huko mbeleni akikutosa elimu yake itamsaidia na mwanao
 
I will advise umpe mimba kwanza then ndo umsomeshe kama mama wa mtoto wako.

That way, utakuwa ushakula faida kabla ya kuwekeza. So hata uwekezaji ukibuma then faida ulishapata upfront.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwana unamiaka mingapi labda?
 
Nipo nawaza hapa mkuu nimpige mimba ndo nimsomeshe hata akija kunigeuka baadae najua tayar nipo na mtoto wangu ashanizalia tayar nakuwa nimepunguza machungu nimawzo nawaza
 

Mkuu kama unampenda na lengo lake kusoma , muoe Kwanza alaf atasoma mbele Kwa mbele , wengi Sana wapo chuo huku wameolewa tena wengine wananyonyesha kabisa , Yani hakikisha kipind chote anasoma either ana mimba au ananyonyesha, wengi tuu wanasoma hvo na wanamaliza kibishi hvyo hvyo , zaidi ya hapo usifanye ujinga wa kumsomesha akiwa plain utajuta Sana mkuu ... First year sio binti wa Kudate naye Kwa penzi la kudonoa lazima akuvuruge tuu , maisha ya chuo huwa yanawachanganya Sana mabinti , ni Bora Kudate na third year Ila sio first year
 
Mpeleke chuo watu tukamle huko. Mi nafanya Phd sasa. Mlete nimeshakula sana mabinti wasikivu. Anavyokusikiliza wewe ndo hata mimi atanisikiliza hivyo hivyo. Mlete tumle huku chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…