Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Wakati hizo dreams umemsaidia wewe kuzitafuta !! Haya mambo mtu ufanye ubinadamu ufunike kombe ila ukiweka matarajio ! Watu wanauana hukoutasikia wewe sio man of my dreams 😂😂😂🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati hizo dreams umemsaidia wewe kuzitafuta !! Haya mambo mtu ufanye ubinadamu ufunike kombe ila ukiweka matarajio ! Watu wanauana hukoutasikia wewe sio man of my dreams 😂😂😂🙌
Utatengeneza singo maza very soon!!! Mchumba hasomeshwi na uzuri unaonekana unajua madhara ya kumsomesha , kama unaona ni wa kutulia na wewe muoe umfungulie biashara atulieNipo nawaza hapa mkuu nimpige mimba ndo nimsomeshe hata akija kunigeuka baadae najua tayar nipo na mtoto wangu ashanizalia tayar nakuwa nimepunguza machungu nimawzo nawaza
Tukimwambia hatatuelewa...tumwache Kwanza!Huyu tumwambie au tumwache kwanza ? [emoji23][emoji23]
Ukitulea swali kama hili outomatic tutakushauri kuwa mchumba hasomeshwi ...... ngoja nikushauri ivii ..... kama hutojali mtafte mwanasheria andikisha neni ... mta andikishana nini mtajua nyie ila lazma uthibitisho flani uwepo kama mlikubaliana kwa mandishi kisheria ....utanishukuru badayeWadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
Watu wanakufa sio mchezo...ila kama anampenda na ana malengo nae amuoe kabisa ndo ampeleke shuleWakati hizo dreams umemsaidia wewe kuzitafuta !! Haya mambo mtu ufanye ubinadamu ufunike kombe ila ukiweka matarajio ! Watu wanauana huko
HaisaidiiAmdunge na mimba kbsa aende nayo chuo
Ataenda kutushtaki , "eti wanasema nisikusomeshe" shem anatumind hukuTukimwambia hatatuelewa...tumwache Kwanza!
Msomeshe kwa makubaliano maalum maisha yana badilika ndugu ... usipo angalia huo ni mtego katika maisha yakoYan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa
Labda binti bado mdogo !! Au nae anasema nikimaliza kusoma ndo tuoaneWatu wanakufa sio mchezo...ila kama anampenda na ana malengo nae amuoe kabisa ndo ampeleke shule
Mkaushie kwanza maana hawa ndio wale ambao kila tukiitisha vikao vya wanaume hawataki kuja wanaishia kwenda kwenye matamasha ya Zuchu.Huyu tumwambie au tumwache kwanza ? [emoji23][emoji23]
Hapo ndo atakapoyakanyaga😃😃Labda binti bado mdogo !! Au nae anasema nikimaliza kusoma ndo tuoane
Hahahaha [emoji23]Haisaidii