Yan nipo njia panda mkuu huyu binti saiv ndo anataka kuanza chuo yan first year nimekuwa nae kwenye mahusiano tangia yupo anasoma advance ila mimi nimempita sana kiumri na kimaisha naifahamu familia yao haiko sawa kiuchumi sasa juzi alikuja kunitembelea mjengoni kwenye maongezi ndo akaniomba hivyo ninacho mpendea ni msikivu sana kwangu na mtiifu sana na siyo mtu wa kuomba hela kabisa hili ndo lililo nivutia tangia mwanzo ndo nikawa nae hadi leo sasa limekuja hili la kuomba nimsomeshe ndo nipo njia panda hapa