Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?

  • Total voters
    53
Mshukuru Mungu, ulipata mwanamke ambaye ni baraka kwako... rejea uzao na kuneemeka kwa mimea... lazima sehemu jike na dume za mmea vikutane ili kuwe na matunda na mazao mwisho wa siku... mbegu mbovu daima mazao yako huwa mabovu, uchavushaji (kujaamisha me na ke ya mmea) hafifu daima mazao yake ni hafifu....
Kiuhalisia hayo pia ndio maisha ya mwanadamu

Kiuhalisia hayo pia ndio maisha ya mwanadamu
 
Pre mature for marriage
 
Na nukuu

""Baada ya kuoa mwaka jana mwezi wa saba hali ikabadilika ghafla hela zikawa zinaishia kwenye chakula, mimi kama mwanaume naweza kununua hata maandazi matano nikanywa na juice na siku ikaisha ila kwa mke hutaweza kufanya hivyo itabidi utoe hela ya chakula ""

WEWE NI MWANAUME MBINAFSI, SISI WANAUME WENZAKO TUNAFURAHIA KUTOA HELA YA CHAKULA MKE APIKE TULE TUFURAHI, NA TUKIMALIZA TUMLE NA YEYE PIA..

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mh unataka kunifundisha ubahili! Hizi bajeti mimi nikizifatilia naweza kata tamaa
Sababu nanunua kila kitu cha ndani na nikiangalia pesa nayotoa kwa siku si chini ya elf 50
Na hata nibane vipj. Matumiz
Nina family ya watu 7
 
Kwann usingetafuts mume mkuu,ungesave pakubwa ww ndo ungekuww unahudumiwa,ni ushauri tu
 
Tafuta hela jamaa acha kulalamika, jitahidi pia ujenge au upange nyumba ya hadhi ya mke na mume pia ununue gari manake Nina uhakika hapo unapolipa Kodi ya 100k huwezi ingiza gari
 
Ndio lakini hela zinakatika kama maji ukiwa mwenyewe unaziona
 
Mh unataka kunifundisha ubahili! Hizi bajeti mimi nikizifatilia naweza kata tamaa
Sababu nanunua kila kitu cha ndani na nikiangalia pesa nayotoa kwa siku si chini ya elf 50
Na hata nibane vipj. Matumiz
Nina family ya watu 7
Inamana usingekuwa nayo sasahivi ungekuwa na Range Rover yako mpya kabisa, 50 kwa siku x mwaka mmoja
 
Tafuta hela jamaa acha kulalamika, jitahidi pia ujenge au upange nyumba ya hadhi ya mke na mume pia ununue gari manake Nina uhakika hapo unapolipa Kodi ya 100k huwezi ingiza gari
Packing ipo nzuri tu hilo nashkuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…