Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?

  • Total voters
    53
Hii kitu nikweli kabisa watu wanasema ila hatuamini tunakuja kuona kwa macho
mkuu kwa kuwa ushaya vulia maji sharti uyaoge.chakufanya mfundishe shem wetu ujasiriamali ili shida ndogo ndogo muwe mnasaidiana kuzisove, ila br wangu ramani isha badilika amebaki pombe sana na mke kumfukuza hawez na ashamzalisha watoto kadhaa
 
Manaake ndoa yako ikidumu miaka mitano utakua umepoteza IST 5 duh. piga chini ukusanye ukusanye Ist zako ufanye uber
Hapa ndo panaponichanganya ina maana kwa miaka mitano ningekuwa nazo 5, ndo mana matajiri hawataki kuoa kama akina Mondi na wengine mana hela zinakatika
 
Atakimbia familia huyu[emoji28][emoji28]
 
Hapa ndo panaponichanganya ina maana kwa miaka mitano ningekuwa nazo 5, ndo mana matajiri hawataki kuoa kama akina Mondi na wengine mana hela zinakatika
Mkuu kwako ni pesa na matumizi ila wanawake wana chagamoto nyingi zaidi ya pesa, na kuambia ukweli, ukiwa na pesa ni mtihani zaidi kuliko yule asio kua na pesa.
 
Kweli una historia kubwa ndugu
 
Mmh!!! wewe ulioa au uliolewa? Kwahiyo hali ina onekana wewe ndo unaosha hata viombo na kufua nguo za mkeo loh!!!!!
 
Mimi sijakuelewa umefilisika nini? Ulikuw na mali za kias gan au kwa siku mapato yako yalikuwaje? Ulikuw na vyanzo vya mapato vingap ambavyo ndoa imefilisi jaribu kufafanua hapo
 
Mimi sijakuelewa umefilisika nini? Ulikuw na mali za kias gan au kwa siku mapato yako yalikuwaje? Ulikuw na vyanzo vya mapato vingap ambavyo ndoa imefilisi jaribu kufafanua hapo
Amesababisha pesa zangu ziishe kwa kasi wakati kabla ya kuoa hela ilikuwa imetulia mfukoni mwaka mzima na haya yamesababishwa na matumizi ya ndani vyakula na mauchafu mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…