Naomba Ushauri, nimefilisika baada ya kuoa!

Je, upi uamuzi wako kwenye ndoa?


  • Total voters
    53
Pole sana!

Kuna dogo wangu yupo Dar aliolea NYUMBANI huko,SASA baada ya kuoa uchumi ukayumba sana!

Nikasikia anasema mwanamke hana nyota ya mali,hivyo akaoa wa pili ambar alikuwa na kabiashara kake leo Wana toto nne maisha BADO ya kuunga!!

Wanawake pia viumbe wa ajabu kidogo,kuna MMOJA ulimpa hela unaishiwa kabisa kuna mwingine unampa hela au ukipiga show michongo ya hela inaongezeka!!

Hapa mtaani kwangu kuna jamaa kapanga kwenye frem yangu MOJA wapo huyu jamaa ana kaka yake nasikia akijua na hela balaa baada ya kuoa mke pili zikaisha kabisa alivoenda NYUMBANI Babu yake akamuuliza kwanini ulioa kabla hujaniuliza!!?


Babu akamwambia mke wa pili ndio kaleta mkosi wa wewe kupata mali na kupoteza!!!


NDOA no mchanganyiko wa mambo mengi SANA mkuu!!!

Kamuulize Mungu kama we ni wa Mungu na kinyume chake!!!

Fedha na mali plus NDOA ni roho!!
 
Kweli kaka, ndo mana wengine wanasema baada ya kuoa wamefanikiwa wakati sisi baada ya kuoa ndo tumeanguka
 
Laki 3 ni kipato kidogo kwa dsm. Fanya hivi pendelea kununu vitu vyako from farm gate. Farm gate price huwa ni cheap kuliko vikifika madukani. Fufua mahusiano na ndugu waliopo kijijini. Marafiki na jamaa wanaposafiri jenga nao mahusiano mazuri utapata vitu vingi kwa bei nafuu sana.

Mwisho.....
Ongea na watu vizuri kule Songea gunia la mahindi haliwezi kuzidii elfu 50 mama Samia kafunga mipaka kuvusha mazao ya nafaka
 
Kaka umenena
 
Kweli kaka, ndo mana wengine wanasema baada ya kuoa wamefanikiwa wakati sisi baada ya kuoa ndo tumeanguka
Chemistry muunganiko Mkuu!!

Mke anamchango Mkubwa sana kwenye mafanikio ya mtu YAANI sana!!

Mnaweza anza vizuri tena kwa kasi lakini mbeleni kasi ikapungua baada ya mioyo kuchokana au ubinafsi ikaanza mkajikuta badala ya ki fight together as one,mka die divided!!
 
Kweli kabisa
 
Hata Mtume Muhammad (pbuh) alikuwa ni mfanyakazi wa mkewe Bi Khadijah. Btw, bibie kuna ubaya wowote nikiosha vyombo na kufua nguo alizovaa mke wangu?
Mtume hakulipiwa mahari alikua mfanya biashara sio muosha viombo.
 
Kingine cha nyongeza jifunze kufanya saving ya chakula na nishati( gesi na umeme au mkaa)
Tenga muda wewe na wyf mjadili kuhusu kuokoa nishati na other food stuffs.
Vile vile mjifunze kutumia left over.
Kuna vyakula vingi na vitu vingi tunatupa majalalani kingali vingeweza kutumika tena.
Kuwa na kabustani kadogo hata kwenye mifuko ya cement iliotumika.
Hakikisha wyf ana feel the pain of your burden bro. Kuna mwanamke anatumia food stuffs vibaya sana mwisho wa siku huisha haraka na pesa inatumika
 
Kweli kaka
 
Go back to the drawing board and remedy the situation.Kaa chini na mkeo mpange bajeti na ikiwezekana mbane matumizi.

Halafu unatakiwa ujue kadri familia inapoongezeka( mke na watoto) ndivyo ambayo mahitaji yanaongeleka pia.Jitahidi Sana uongeze kipato chako na mkeo mtafutie ishu ya kufanya asikae tu kizembe maisha ya ckuiz yanataka ushirikiano wa pande zote.
 
Inaonekana bahili sana mkuu
 
Kwakukusaidia tu hebu niambie kipato chako kwa mwezi ni bei gani nikusaidie kupanga bajeti mdogo wangu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…