Naomba ushauri: Simuelewi mama. Nina hasira sana

Ahsante mkuu
 
Ni Mama yako Mzazi wala Mtu asikwambie mengine,
Anakuona Mzigo sababu huingizi chochote ni kawaida hiyo usijione una Mkosi,

Muhimu wewe ondoka hapo kwenu katafute Maisha pengine, kwanza rizki yako ipo sehemu nyingine unavyoendelea kukaa hapo na hayo masimango ya Mama wazidi kujichelewesha kupata rizki uliyowekewa.
 
Ni hali ya kawaida kuwa na mgogoro na wazazi hasa katika kipindi ambacho huna kitu na unakaa nyumbani
Hata ndugu ukitaka uelewane nao usikae nao karibu hama hapo katafute maisha sehemu nyingine
Sawa🙏🏿
 
It pain njoo dsm tupambane hapa kukaa na wazazi kwa umri wako utakufa kwa stress na hizi Familiya za Kia-Africa most of them they know nothing about hard moment yaani they love u Kama hupo na pesa na si kitu kingine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…