Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

Naomba uzoefu na wadada wanaofanya kazi Benki, wanaona kama maisha wameyapatia

ndoa ikivunjika hana pa kwenda
Dume kabisaaa hakosi pa kwenda bana ......... sasa sikia akikuacha oa Bomba zaidi yake na tajiri hasaaaa!! alie wivu mpaka afe....km hajakuwinda kuku ua!! sasa je utakubali ufe??...... na akikuwinda mfanye awe kiwete!! azidi kukulilia!!
 
Au Anne wewe unasemaje mama?[emoji1787]
Wala mimi Sina Cha kuchangia
Ila naonaga wengi hawajitambui..

Na kushika hela ya mtu ukiwa huna hela ni zaidi ya stress.
Nilishawahi fanya hii kazi ya kumshikia boss dollari zake halafu Mimi sina hata sh 10..baadaye nikaona ni ujinga.
 
Ulikagua Account yako ukaona kweli kakuzidishia maana wa hudumu wa banki wezi Sana unaweza ukaandika kwenye form unatoa elf 70 sasa yeye anatoa elf 90 wewe anakupa elf 80 kwaiyo ukihesabu utaona kakuzidishia wakati yeye kashaichukua elf kumi yako.
Ni kwamba ilikua Cheque kahesabu X2 kwenye mashine yake alivonipa nikasogea pembeni kuhakikisha nikakuta msimbazi mbili zaidi nikasepa taratiiiiibu
 
Wala mimi Sina Cha kuchangia
Ila naonaga wengi hawajitambui..

Na kushika hela ya mtu ukiwa huna hela ni zaidi ya stress.
Nilishawahi fanya hii kazi ya kumshikia boss dollari zake halafu Mimi sina hata sh 10..baadaye nikaona ni ujinga.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni shida sana! Unamshikia mtu $10,000 huku unagongea buku.

Anyway, nilikuwa natania tu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni shida sana! Unamshikia mtu $10,000 huku unagongea buku.

Anyway, nilikuwa natania tu!
Anakutuma kanichukulie Dola 30,000 sehemu Fulani ,unatokwa na jasho weee unapeleka pale....mwisho wa anakulipa hela ambayo hata nauli haitoshi.

Hahahah!!
 
Mishahara yao ni midogo tu. Pia wanafaidika na Mikopo ambayo Benk huwa zinawakopesha watumishi wake.
Kuna benki moja kubwa sana hapa bongo, mishahara ni ya kawaida sana, ila mikopo walikuwa wanapewa kwa riba ya asilimia 5 tu. Kiufupi niliwahi fanya hapo kazi miaka 15 iliyopita, life lao ni la kawaida sana mkuu.
 
Ulikagua Account yako ukaona kweli kakuzidishia maana wa hudumu wa banki wezi Sana unaweza ukaandika kwenye form unatoa elf 70 sasa yeye anatoa elf 90 wewe anakupa elf 80 kwaiyo ukihesabu utaona kakuzidishia wakati yeye kashaichukua elf kumi yako.
Hiyo ngumu sana kwani unabaki na nakala ya fomu uliyotolea hela ikiwa na muhuri, tarehe, sahihi yake na sahihi yako.
 
Bora wa benki maringo ya wanawake wanaofanya kazi kwenye vituo vya mafuta unayafahamu kweli
 
Kwema ndugu zangu?

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.

Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?

Wanaolewa kweli hawa wadada?
Kama umemchunguza vizuri na hana shida oa mkuu mimi mke wangu ni banker tuna miaka 6 sasa ya ndoa na nilimuona bank kwa mara ya kwanza from there its history now we live happily na tuna watoto 2
 
Changamoto yake kubwa ni wateja wake.
Kila mteja ana mwita Mpenzi, mara Darling mara love...
Ile lazima ikuchanganye!! Siku moja nimemtoa Lunch kwa pesa yangu, halafu akatokea jinga jinga mmoja huko akamlipia!! Yule fala akaonyesha tu kwa ishara kuwa keshalipia, yeye akaropoka Asante Mpenzi!! Aisee, jamani baby usijali ni mteja wetu!! Mteja wenu?? Dadeki!! By the way nilishindwa kumuoa simply kwa hiyo life style yake yakijinga na hadi leo hajaolewa!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anakutuma kanichukulie Dola 30,000 sehemu Fulani ,unatokwa na jasho weee unapeleka pale....mwisho wa anakulipa hela ambayo hata nauli haitoshi.

Hahahah!!
Kuna siku aliniagizia Ununio, nikaenda kuhesabiwa USD 22,000. Yeye yupo Hotel moja hivi Executive Suite nikampelekea... Kwa dharau akapokea kwenye Lift ilivyofunguka tu kisha nikashuka nayo akaniambia niende Reception ameniachia nauli.

Nikawa na Mshawasho kufika Reception Dada anazingua mara aniulize sijui Mzigo uko wapi? Nikamwambia mpigie nimeshampa Mzigo wake mwenyewe ... Kampigia naona wameongea kidogo ananipa 'Msimbazi'.

Aisee katika Milioni 50 ananipa Msimbazi!!?? Hiyo kitu iliniuma nikajiambia ataingia 18... Sasahivi anajuta na hatokuja kunisahau katika maisha yake. Mbuzi kabisa.
 
Kwema ndugu zangu?

Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.

Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?

Wanaolewa kweli hawa wadada?
Tafuta hela, kuwa na hela. Mtaishi

"Paka hawezi ishi kwa Msela."
 
Back
Top Bottom