Pole, yaonyesha ulikuwa na kisu kikali [emoji3]kabla sijafilisiwa na Jiwe , niliwala sana pale stanbic na premier branches kwa style hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, yaonyesha ulikuwa na kisu kikali [emoji3]kabla sijafilisiwa na Jiwe , niliwala sana pale stanbic na premier branches kwa style hii
[emoji23]Kuhesabu mamilioni ya wenzako ilhali account yako kila mwezi haizidi six figures unadhani rahisi sana!
Dume kabisaaa hakosi pa kwenda bana ......... sasa sikia akikuacha oa Bomba zaidi yake na tajiri hasaaaa!! alie wivu mpaka afe....km hajakuwinda kuku ua!! sasa je utakubali ufe??...... na akikuwinda mfanye awe kiwete!! azidi kukulilia!!ndoa ikivunjika hana pa kwenda
Hakuna bank teller wa bank yoyote nchini anayelipwa mshahara huoInategemea na bank, kwa navyofahamu bank nyingi huangukia TZS. 350,000 - 700,000
Au Anne wewe unasemaje mama?[emoji1787][emoji23]
Wala mimi Sina Cha kuchangiaAu Anne wewe unasemaje mama?[emoji1787]
Ni kwamba ilikua Cheque kahesabu X2 kwenye mashine yake alivonipa nikasogea pembeni kuhakikisha nikakuta msimbazi mbili zaidi nikasepa taratiiiiibuUlikagua Account yako ukaona kweli kakuzidishia maana wa hudumu wa banki wezi Sana unaweza ukaandika kwenye form unatoa elf 70 sasa yeye anatoa elf 90 wewe anakupa elf 80 kwaiyo ukihesabu utaona kakuzidishia wakati yeye kashaichukua elf kumi yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni shida sana! Unamshikia mtu $10,000 huku unagongea buku.Wala mimi Sina Cha kuchangia
Ila naonaga wengi hawajitambui..
Na kushika hela ya mtu ukiwa huna hela ni zaidi ya stress.
Nilishawahi fanya hii kazi ya kumshikia boss dollari zake halafu Mimi sina hata sh 10..baadaye nikaona ni ujinga.
Anakutuma kanichukulie Dola 30,000 sehemu Fulani ,unatokwa na jasho weee unapeleka pale....mwisho wa anakulipa hela ambayo hata nauli haitoshi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani ni shida sana! Unamshikia mtu $10,000 huku unagongea buku.
Anyway, nilikuwa natania tu!
Upi walaki 7 au tatu nanusu?Hakuna bank teller wa bank yoyote nchini anayelipwa mshahara huo
Kuna benki moja kubwa sana hapa bongo, mishahara ni ya kawaida sana, ila mikopo walikuwa wanapewa kwa riba ya asilimia 5 tu. Kiufupi niliwahi fanya hapo kazi miaka 15 iliyopita, life lao ni la kawaida sana mkuu.Mishahara yao ni midogo tu. Pia wanafaidika na Mikopo ambayo Benk huwa zinawakopesha watumishi wake.
Hiyo ngumu sana kwani unabaki na nakala ya fomu uliyotolea hela ikiwa na muhuri, tarehe, sahihi yake na sahihi yako.Ulikagua Account yako ukaona kweli kakuzidishia maana wa hudumu wa banki wezi Sana unaweza ukaandika kwenye form unatoa elf 70 sasa yeye anatoa elf 90 wewe anakupa elf 80 kwaiyo ukihesabu utaona kakuzidishia wakati yeye kashaichukua elf kumi yako.
Unakanusha kwa maneno matupu, mimi nimeweka range: yaani kati ya 350K mpaka 700K, sijataja kiasi halisi 'actual', onyesha weledi katika kukosoa, bainisha unachokifahamuHakuna bank teller wa bank yoyote nchini anayelipwa mshahara huo
Pump attendant? [emoji23]Bora wa benki maringo ya wanawake wanaofanya kazi kwenye vituo vya mafuta unayafahamu kweli
Hii ishawahi kunikuta hii... After some time of building trust. Nlimfurahisha na roho yake.Anakutuma kanichukulie Dola 30,000 sehemu Fulani ,unatokwa na jasho weee unapeleka pale....mwisho wa anakulipa hela ambayo hata nauli haitoshi.
Hahahah!!
Kama umemchunguza vizuri na hana shida oa mkuu mimi mke wangu ni banker tuna miaka 6 sasa ya ndoa na nilimuona bank kwa mara ya kwanza from there its history now we live happily na tuna watoto 2Kwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Wanaolewa kweli hawa wadada?
[emoji23][emoji23][emoji23]Changamoto yake kubwa ni wateja wake.
Kila mteja ana mwita Mpenzi, mara Darling mara love...
Ile lazima ikuchanganye!! Siku moja nimemtoa Lunch kwa pesa yangu, halafu akatokea jinga jinga mmoja huko akamlipia!! Yule fala akaonyesha tu kwa ishara kuwa keshalipia, yeye akaropoka Asante Mpenzi!! Aisee, jamani baby usijali ni mteja wetu!! Mteja wenu?? Dadeki!! By the way nilishindwa kumuoa simply kwa hiyo life style yake yakijinga na hadi leo hajaolewa!!
Kuna siku aliniagizia Ununio, nikaenda kuhesabiwa USD 22,000. Yeye yupo Hotel moja hivi Executive Suite nikampelekea... Kwa dharau akapokea kwenye Lift ilivyofunguka tu kisha nikashuka nayo akaniambia niende Reception ameniachia nauli.Anakutuma kanichukulie Dola 30,000 sehemu Fulani ,unatokwa na jasho weee unapeleka pale....mwisho wa anakulipa hela ambayo hata nauli haitoshi.
Hahahah!!
Tafuta hela, kuwa na hela. MtaishiKwema ndugu zangu?
Nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja anafanya kazi bank.
Hawa wadada wanaona maisha washayapatia sanaa najiuliza sana nataka kujua kama kuna mtu humu kaoa mdada wa bank wanaishije huko makwao?
Wanaolewa kweli hawa wadada?