haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
kwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume.
Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average.
Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua kazini au akiwa period imekua kama nimepewa likizo kazni, nakuwa na wakati wa kupunzika, mana mchakamchaka wake umepitiliza viwango vya kawaida kabisa ndugu zangu.
Pengine labda kwakua ananiona mi ni handsome sana ndo mana anataka kuni keep busy ili nisiwe na nafasi ya kufanya utundu nje? Sielewi ila ukweli nimechoka.