Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na mishangazi mdogo wangu watakuuwakwa uzoefu wangu nimefikia hitimisho la kusemackua, mke wangu ana nguvu nyingi kwenye tendo la ndoa na si kuwa nina tatizo la nguvu za kiume.
Nimejaribu kuendana na kasi yake ya uhitaji wa jambo hili lakini nimeona uhitaji wake ni above average.
Naomba msaada wa namna ya kuedanda nae, anapokua kazini au akiwa period imekua kama nimepewa likizo kazni, nakuwa na wakati wa kupunzika, mana mchakamchaka wake umepitiliza viwango vya kawaida kabisa ndugu zangu.
Pengine labda kwakua ananiona mi ni handsome sana ndo mana anataka kuni keep busy ili nisiwe na nafasi ya kufanya utundu nje? Sielewi ila ukweli nimechoka.
Eeh we bibi kumbe nawe umo? Tupe darsa basi.Hauyajuwi mambo tu.
Wanawake nao waketumika sana, yanini kujichosha?Wanaume wengi siku hizi choka mbaya tu,mkamue vizuri
Sister huo sio ustaraabu ni vema umshauri cha kufanya kuilko kumchamba mfanye ayajue mambo vinginevyo ungepiga kimya.Hauyajuwi mambo tu.
Ni mrembo, sio jamaa😃Acha upunga we jamaa,
Kila unapopiga shoow usikojoe ,ukishajua kua yeye tayar amefika mshindo chomoa eka mbegu na nguvu zako kwa baadaeNiko na mke wa hivyo,mwanzo nilipomuoa ilikuwa n mchaka mchaka ila baadae nilichoka na kuanza kumpuuza,kuna wakat anaomba afu nakataaa
Hakuna madhara kufanya hvyoKila unapopiga shoow usikojoe ,ukishajua kua yeye tayar amefika mshindo chomoa eka mbegu na nguvu zako kwa baadae
Kwa hiyo unawashauri waache kufanya kazi zingine wawe wanapigana miti tu😂Pole sana nimeshawahi kukutana na hiyo sampuli sasa dawa yake kaeni chini muweke timetable ya mwezi mzima akikataa teua wiki kama mbili za kumtia adabu mkamie na uombe show kila Baada ya lisaa kwasiku omba show hata mara sita au saba na ukipewa simamia kuchaa balaa fanya ivo kwa wiki au wiki mbili lazma mtarudi mezani kupanga ratiba