Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

Kwenye miti hakuna wajenzi aisee
 
Jambo la msingi ni kula vizuri ameaga kwao kwaajili hiyo, ameaga kwao kwaajili ya dudu
 
Pole sana nimeshawahi kukutana na hiyo sampuli sasa dawa yake kaeni chini muweke timetable ya mwezi mzima akikataa teua wiki kama mbili za kumtia adabu mkamie na uombe show kila Baada ya lisaa kwasiku omba show hata mara sita au saba na ukipewa simamia kuchaa balaa fanya ivo kwa wiki au wiki mbili lazma mtarudi mezani kupanga ratiba
 
Nitumie namba yake
 
Hiyo Libido ya mkeo dawa ni moja tu, Mpakie Mkongo
 
Hauyajuwi mambo tu.
 
"Pengine labda kwakua ananiona mi ni handsome sana ndo mana anataka kuni keep busy ili nisiwe na nafasi ya kufanya utundu nje? Sielewi ila ukweli nimechoka."

UZI UFUNGWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…