Naomba uzoefu wa kuendana na mke wenye uhitaji wa "sex" kila wakati

Wee mwanaume wa jiji la dar eeeh,pelekaaaa moto,weee mpelekeeee moto,akiwaa anapikaa mpandishe kangaa mpelekee moto,akiwa anafua wee mfunuee upelekee moto,akiwaa ana deki kudadekii mpelekee moto,hata kutwaa mara nanee,na bado saa ya kulala week mbili nyingi,atanyanyuaa mikono tena mpelekeee moto
 
Achana na mishangazi mdogo wangu watakuuwa
 
Pole sana unatakiwa kutenga muda na mweza wako nakumueleza hyo hali inavyokupa changamoto kwako kama nakupenda kweli atakuelewa pia bi kabla ya kuanza kumla tenga muda mrefu wa kumuaanda
 
Niibobo namba yake nimuelekeze jambo ili kusaidia ndoa yenu
 
Je unamfikisha Kileleni?(kumjojoza?) Coz according to my experience mwanamke akifika Kileleni hataki tena
 
Dah iliwahi nitokea hyo kama miaka 6 iliyopita ..yule mwanamke kichaa alijua kunikamua ananiambia kabisa nataka nikitoka hapa usiwe na manii zakukojolea wanawake wengine..ilikuwa nikuchakata hata bao 7 kuendelea mpaka ahakikishe mzigo hautemi risasi kwa mdahuo ndo ananiachia
 
Kwa hiyo unawashauri waache kufanya kazi zingine wawe wanapigana miti tu😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…